IKULU

NATAKA KUWATHIBITISHIA WANANCHI NA WANACCM HAKUNA MTU YEYOTE ALIYETUMWA NA MIMI – RAIS DKT MAGUFULI

“Na nataka kuwathibitishia wananchi wanaccm hakuna mtu yeyote aliyetumwa na mimi, hakuna mtu yeyote aliyetumwa na Makamu wa Rais na hakuna mtu yeyote aliyetumwa na Waziri Mkuu, hakuna mtu yoyote aliyetumwa na Mzee Mangula, hakuna mtu yoyote aliyetumwa na Katibu Mkuu Dkt. Bashiru kwahiyo kama yupo mtu yoyote anayezungumza mimi …

Soma zaidi »

USICHOKE KUTULEA SISI VIJANA TUNA MIHEMKO MIKUBWA – MKUU WA MKOA WA MBEYA CHALAMILA

Alichozungumza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila Ikulu Chamwino,jijini Dodoma julai 16, 2020 “Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nifurahi kidogo kwa kupewa nafasi hii kuwa mmoja wa wazungumzaji wa kutoa neno kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa waliohudhuria hii leo” “Mhe Rais nimepewa jina hivi karibuni …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATEUA WAKILI MKUU WA SERIKALI NA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Julai, 2020 amemteua Bw. Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali (Solicitor General) Kabla ya uteuzi huo Bw. Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali na anachukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba. Wakati huo …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATEUA MKUU WA WILAYA, MKURUGENZI NA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA 2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 09 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya 1 na Mkurugenzi Mtendaji 1, kama ifuatavyo; Kwanza, Rais Magufuli amemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora. Kabla ya …

Soma zaidi »

RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha baada ya kumthibitisha Bw. James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020 Rais Dkt. John Magufuli  amewaapisha Wakuu wa Mikoa 2, Kamishna …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA RELI YA KATI (SGR) SEHEMU YA DAR ES SALAAM – MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Shirika la Reli nchiniTRC kabla ya kuondoka katika stesheni hiyo ya Soga mkoani Pwani. Rais Dkt. John Magufuli tarehe 28 Juni, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa reli …

Soma zaidi »