RAIS MAGUFULI AKIKAGUA GWARIDE KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KULA KIAPO NOVEMBA 05, 2015.
LIVE: Uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda Vidogo Kitaifa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ndiye Mgeni Rasmi Umafanyika Mkoani Simiyu katika viwanjwa vya Nyakabimbi. Fuatilia moja kwa moja katika link hii..
Soma zaidi »LIVE: MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
Kitaifa yanafanyika Mkoani Tanga. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibae Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein ndiye mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wamehudhuria pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Selikali ya Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania. Fuatilia moja kwa moja …
Soma zaidi »video: SIKU WAZIRI MKUU ALIPOTETA NA MFANYABIASHARA MO
• Mhe. Waziri Mkuu alimsisitizia namna serikali inavyojali mchango wa wafanyabiashara • Mohamed Dewji alifika ofisini kwa Mhe. Waziri Mkuu kupeleka taarifa yake ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kujenga Tanzania ya viwanda. • Mhe. Waziri Mkuu alimwambia mfanyabiashara huyo umuhimu wa kodi inayokusanywa kutoka kwa wafanyabiashara na serikali …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU – BENKI KUU SASA ITADHAMINI MIKOPO YA MTAJI YA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO KATIKA MABENKI!
“Leo nimepita eneo nimekuta Bank Kuu.. na wenyewe Benk ya Biashara NBC.. wananiambia, sisi tuko tayari kutoa mikopo kwa wajasiliamali (wa Madini); ili wanunue mitambo, wanunue vifaa vingine vya kusaidia kuchimba.. lakini pia na kuboresha.” – Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. 30/09/2018, Geita “Benki Kuu wanasema, ni nyie tu (wachimbaji …
Soma zaidi »LATE LIVE: WAZIRI MKUU AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KISHA WANANCHI WA UKARA
Aelezea agizo la Mhe. Rais kuhusu kutangazwa kwa tenda ya haraka sana kujengwa kwa kivuko kikubwa kitakachokuwa kikitoa huduma eneo la Ukara Azungumza na wanachi na kuwasihi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Awaahidi kuwa rambirambi zote zinazokusanywa na serikali, zitakuwa za wafiwa na kiasi kidogo kuwa sehemu …
Soma zaidi »MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA
Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …
Soma zaidi »Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Simiyu yakamilika
Sehemu ya jengo la wagonjwa wa nje (OPD)la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Simiyu lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Bariadi Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.
Soma zaidi »#NiSisiSisi Watanzania Tumenufaika na Mkutano Wa FOCAC – Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu – Tarehe 5 Septemba 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imepata mafanikio makubwa kutokana na kushiriki kwake katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Amesema kikao hicho kimekuwa na tija kwa Tanzania kutokana na maeneo ya vipaumbele yaliyojadiliwa katika mkutano huo hususani masuala ya uwekezaji kwenye sekta ya viwanda. …
Soma zaidi »