MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA

  • Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa.

TAZARA MPYA 3

  • Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo.

 

  • Sasa foleni katika eneo la TAZARA kupungua kwa asilimia kubwa mno.
  • Muda wowote kuanzia sasa, Rais Magufuli aizindua flyover hiyo na kuipa jina la Eng. Patrick Mfugale Flyover
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Rais  Dkt. John  Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.