NAIBU WAZIRI SIMA AKAGUA KIWANDA CHA TBL MBEYA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akipata maelezo ya shughuli za uendeshaji wa Kiwanda cha Bia Mbeya kutoka kwa Bw. Emmanuel Sawe Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho. Kushoto ni Prof Esnat Chaggu Mwenyekiti wa Bodi – Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC.
Dkt. Samuel Gwamaka Mkurugenzi Mkuu, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira – NEMC akisisitiza jambo kwa watendaji wa Kiwanda cha Bia cha Mbeya baada ya ziara ya kikazi kiwandani hapo kuangalia uzingatiaji wa Sheria ya Mazingira.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Benki ya NMB Tanzania yapongezwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

kwakuwa Kinara katika utendaji wake, kutengeneza faida kubwa ya mfano wa kuigwa na mashirika na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *