Recent Posts

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI WA MBOLEA KWA WAKULIMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Kilimo ihakikishe mbolea iliyotolewa bure kwa wakulima wadogo inawafikia na kuwanufaisha wahusika kama lengo la kampuni ya YARA lilivyokusudia. Akizungumza wakati alipozindua rasmi mpango wa ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima katika Ofisi za Kampuni ya YARA Tanzania jijini Dar es salaam (Jumapili, …

Soma zaidi »

SIMU JANJA ZITUMIKE KUTAFUTIA FURSA – DKT CHAULA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt. Zainab Chaula (kushoto) akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw Emmanuel Tutuba (wa pili kushoto) na Naibu Katibu Mkuu (Mawasiliano) Dkt Jim Yonaz (wa tatu kushoto) akisalimiana na Dkt. Godwill Wanda, Katibu Mtendaji wa Baraza …

Soma zaidi »

MKE WA RAIS WA MALAWI ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA

Afisa Elimu Mwandamizi wa Makumbusho ya Taifa, Bibi Anamary Bagenyi akitoa maelezo kuhusu sanaa za sasa kwa wake wa Marais wa Jamhuri ya Malawi na Tanzania walipotembelea Makumbusho ya Taifa Mhifadhi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Amandus Kweka akitoa maelezo kwa Wake wa Marais Malawi na Mama Monica Chakwera …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ATOA SIKU TATU KWA WIZARA YA KILIMO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa mbolea ya YARA ili kuhakiki na kupata ithibati ya mbolea ya bure itakayogawiwa kwa wakulima wadogo nchini kupitia mpango wa Action Africa. Ametoa wito huo (Jumatano, Oktoba 7, 2020) …

Soma zaidi »