Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipokea maelezo kuhusu ufugaji wa ngamia katika shamba la Highland Estate kutoka kwa Mkurugenzi wa shamba hilo Bw. Pirmohamed Mulla alipotembelea moja ya uwekezaji wa kampuni hiyo ya ufugaji wa ng’ombe na ngamaia katika shamba hilo lililopo Kata ya …
Soma zaidi »Recent Posts
IMF YAAHIDI KUIPATIA TANZANIA FEDHA ITAKAYOIHITAJI
Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Nguyen Kim Doanh akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Kabudi Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeahidi kuipatia Tanzania fedha itakayoihitaji ili iweze kuendelea kukabiliana na athari zitokanazo na janga la Covid 19 kwa ajili ya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAHANDAKI YATAKAYOPITISHA TRENI YA KISASA YA UMEME (SGR) KILOSA MKOANI MOROGORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro. Rais wa Jamhuri …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA RELI YA KATI (SGR) SEHEMU YA DAR ES SALAAM – MOROGORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Shirika la Reli nchiniTRC kabla ya kuondoka katika stesheni hiyo ya Soga mkoani Pwani. Rais Dkt. John Magufuli tarehe 28 Juni, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa reli …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA – KISARAWE MKOANI PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ili kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani leo tarehe 28 Juni 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa …
Soma zaidi »WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAWAKILISHI WA WANANCHI KUJADILI UANZISHWAJI WA PORI LA AKIBA NA WMA YA ZIWA NATRON
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd …
Soma zaidi »TANZANIA YAFANIKIWA KUPUNGUZA UINGIZAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI KWA 90%
Na. Immaculate Makilika- MAELEZO Tanzania imefanikiwa kupunguza uingizaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kupunguza tatizo la dawa za kulevya nchini. Akizungumza leo jijini Dodoma, katika Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya, Waziri wa Nchi, Ofisi ya …
Soma zaidi »UJENZI WA BARABARA YA TABORA – KOGA – MPANDA KM 324.7 KWA KIWANGO CHA LAMI WAFIKIA ASIMILIA 48
Kazi za ujenzi wa tabaka la juu la lami ukiendelea katika barabara ya Tabora – Koga – Mpanda (km 342.7); sehemu ya Usesula – Komanga, mkoani Tabora. Kazi za kusambaza lami katika sehemu ya barabara ya Komanga – Kasinde ikiendelea. Kazi hiyo inafanywa na mtambo maalum wa kisasa unaogusa upana …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AAGIZA WASAJILI WASAIDIZI WA HATI OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI
Na Munir Shemweta, WANMM SINGIDA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Wasajili WasaidIzi wa Hati kwenye Ofisi za Ardhi za Mikoa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na faida ya ofisi ya Msajili wa Hati. Akizungumza wakati wa kuzindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Singida …
Soma zaidi »UTEKELEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU
Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa kufunga Bunge la 11 mjini Dodoma June 16,2020 Eneo la Elimu ”Kwenye elimu, kama unavyofahamu, tulianza kutoa elimu bila malipo kwa shule za msingi na sekondari ambapo mpaka mwezi Februari 2020 tulikuwa tumetumia shilingi trilioni 1.01 kugharamia. Lakini, mbali na kutoa elimu bure, tumeongeza …
Soma zaidi »