Recent Posts

TRA YANG’ARA TUZO ZA NBAA, YAPATA USHINDI WA JUMLA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshinda tuzo mbili ikiwemo mshindi wa jumla katika uandaaji bora wa taarifa za hesabu mwaka 2018 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu katika Taasisi za Umma yaani mfumo wa IPSASs. Katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano …

Soma zaidi »

EURO MILIONI 140 ZA ACP KUWANUFAISHA WAKULIMA WA MAHINDI NA KOROSHO

Jumla ya Euro milioni 140 zimetengwa ili kuwanufaisha wakulima wa mazao ya korosho na mahindi katika mpango maalum wa kutoa mikopo,kujenga uwezo katika uzalishaji,masoko,uwekezaji na kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao hayo kwa wakulima wa nchi za Afrika,Caribbean na Pacific jambo litakalosaidia kupunguza umasikini na njaa katika nchi hizo. Akizungumza …

Soma zaidi »

UJENZI MRADI WA UMEME RUSUMO WAFIKIA ASILIMIA 59

Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa maji (megawati 80) wa Rusumo, unaotekelezwa kwa ushirikiano wa nchi za Tanzania, Burundi na Rwanda, umefikia asilimia 59 kutoka 32 iliyokuwa imefikiwa Juni mwaka huu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti (aliyemaliza muda wake) wa Mawaziri wanaohusika na Mradi huo kutoka nchi husika, ambaye ni …

Soma zaidi »