Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Julai, 2019 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji Mkoani Pwani ambao utakamilika Juni 2022 na kuzalisha megawati 2,115. Sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi …
Soma zaidi »Recent Posts
WAFANYABIARA WA ASALI CHALINZE WAPATA SOKO
UJENZI WA BARABARA YA MPANDA-IFUKUTWA-VIKONGE KWA KIWANGO CHA LAMI
LIVE: UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO RUFUJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akitekeleza majukumu ya kiserikali na kuzungumza na Wananchi wa maeneo mbalimbali kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Rufiji
Soma zaidi »FUAD: TUKO TAYARI KUPOKEA NAKUSAFIRISHA MIZIGO NA VIFAA VYA UJENZI MRADI WA UMEME RUFUJI.
Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji. Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini Tanzania, Fuad Abdallah …
Soma zaidi »LIVE:RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KISAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akitekeleza majukumu ya kiserikali na kuzungumza na Wananchi wa maeneo mbalimbali kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Rufiji
Soma zaidi »NI MRADI WA UMEME WA MTO RUFIJI SIYO STIEGLER’S – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amewasihi watanzania kuwa wazalendo kwa kuacha kuuita mradi wa kuzalisha umeme kwa maporomoko ya maji ya mto Rufiji kwa jina la Stiegler’s badala yake wauite kwa jina lake halisi la kizalendo. Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti jana, Julai 24, 2019 wakati akizungumza na waandishi …
Soma zaidi »LIVE: KONGAMANO LA VIWANDA NA FURSA ZA UWEKEZAJI
RAIS MAGUFULI APOKEA DHAHABU YA TANZANIA ILIYOKAMTWA NCHINI KENYA MWAKA 2018
Rais Dkt. John Magufuli aipongeza Serikali ya Kenya kwa maamuzi yake ya kuirejeshea dhahabu zenye uzito wa kilo 35.34 zilizotoroshwa nchini Tanzania na Wafanyabiashara wasio waamini kwa njia ya magendo mwaka 2018. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi dhahabu pamoja na fedha taslimu akiwa pamoja na ujumbe wa Mawaziri na Watendaji …
Soma zaidi »