Recent Posts

WAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KOROMIJE

Waizri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua mradi wa ujenzi na ukarabati mkubwa wa kituo cha afya cha kata ya Koromije wilayani Misungwi na amewahakikishia wananchi kuwa Serikali imejipanga vizuri kuboresha huduma za afya. Amesema uboreshaji huo unahusisha ujenzi wa chumba cha upasuaji, maabara, chumba cha kujifungulia, wodi ya mama na mtoto …

Soma zaidi »

VIJANA WAANZA KUITIKIA WITO WA KUCHAPA KAZI KIZALENDO

Vijana wa kijiji cha Chihwindi kata ya Mtumachi, Newala mkoani Mtwara wamefyeka uwanja  wa kijiji hicho kwaajili ya ujenzi wa kiwanja hicho cha timu ya kijiji maarufu kwa jina la POCHI NENE. Akizungumzia tukio hilo Ndugu Musa Shaibu, amesema kuwa wamefanya hivyo kwa lengo la kuhamasisha vijana kujitolea kufanya kazi …

Soma zaidi »

SERIKALI INATEKELEZA UJENZI WA MITAMBO 55 YA BIOGAS

Miradi ya Viwanda: Kiwanda cha Kuunganisha Matrekta (TAMCO, Kibaha): Hatua iliyofikiwa ni: kuingiza matrekta 822 aina ya URSUS (semi knocked down) ambapo matrekta 571 yameunganishwa na matrekta 339 yameuzwa; Kituo cha Zana za Kilimo na Ufundi Vijijini – CAMARTEC: kutengeneza zana zikijumuisha mashine 64 za kupandia mbegu za pamba, kusaga …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA SOKO LA DHAHABU MJINI GEITA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa tahadhari kwa wadau wote wa madini kuwa atakayekamatwa anatorosha madini, atachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo utaifishaji wa madini atakayokuwa akiyatorosha. Pia amewataka viongozi na watendaji wote wa Serikali wasimamie kwa weledi, uaminifu na uadilifu, sheria, kanuni na miongozo kuhusu sekta ya madini kwa lengo la …

Soma zaidi »

WAGONJWA WATANO WAPANDIKIZWA FIGO KATIKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Hospitali ya  Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza Figo jumla ya Wagonjwa saba tangu ilipoanza kufanya huduma hiyo kwa kushirikiana na Madaktari kutoka shirika la afya la Tokushukai lilopo nchi ya Japan. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto   wakati alipofanya ziara ya kukagua hali …

Soma zaidi »

MIRADI YA KIMKAKATI 37 INATEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI 29 NCHINI

Miradi ya Kimkakati ya kuongeza mapato katika Halmashauri: Hatua iliyofikiwa ni utekelezaji wa miradi ya kimkakati 37 ya kuongeza mapato ya halmashauri na kupunguza utegemezi wa kibajeti kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali ikijumuisha Soko la kisasa – manispaa ya Morogoro, soko la kisasa – halmashauri ya mji Kibaha, Pwani, ghala …

Soma zaidi »

UJENZI WA MIUNDOMBINU YA RADA UMEFIKIA ASILIMIA 90

Ufungaji wa rada nne za kuongozea ndege za kiraia JNIA, KIA, Mwanza na Songwe: Hatua iliyofikiwa ni: JNIA: Kukamilika kwa asilimia 95 ya miundombinu ya rada. Mwanza: Ujenzi wa miundombinu  ya rada unaendelea vizuri. KIA: Ujenzi wa miundombinu  ya rada unaendelea na umefikia asilimia 90. Songwe: taratibu za ujenzi wa …

Soma zaidi »