MIRADI YA KIMKAKATI 37 INATEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI 29 NCHINI

Miradi ya Kimkakati ya kuongeza mapato katika Halmashauri:

  • Hatua iliyofikiwa ni utekelezaji wa miradi ya kimkakati 37 ya kuongeza mapato ya halmashauri na kupunguza utegemezi wa kibajeti kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali ikijumuisha Soko la kisasa – manispaa ya Morogoro, soko la kisasa – halmashauri ya mji Kibaha, Pwani, ghala la kisasa – halmshauri ya wilaya ya Ruangwa, kituo cha mabasi Mbezi Louis – Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, soko la Mburahati – manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam, ujenzi na upanuzi wa kiwanda cha kutengeneza chaki na kiwanda cha vifungashio – halmashauri ya wilaya ya Maswa, Simiyu, stendi ya mabasi Korogwe. Miradi hii inatekelezwa katika halmashauri 29 na ipo katika hatua mbalimbali.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Mradi wa Magari ya Mwendo Kasi, Kuboresha Usafiri, Uchumi, na Mazingira Tanzania

Mradi wa magari ya mwendo kasi nchini Tanzania umekuwa na faida nyingi za kijamii, kiuchumi, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *