Recent Posts

TCAA KUFANYA MAJARIBIO YA KWANZA YA MFUMO WA RADA

Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), inatarajia kufanya majaribio ya kwanza ya mfumo wa rada ya kuongozea ndege nchini unaojengwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Akizungumza na wanahabari waliofanya ziara ya kutembelea ujenzi huo, Msimamizi wa Ujenzi wa jengo lililokuwa ikifungwa rada …

Soma zaidi »

MAVUNDE AKABIDHI GARI LA HUDUMA ZA MAZISHI KWA WANANCHI

Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Mh Anthony Mavunde ametekeleza ahadi yake ya kuwapatia wananchi wa jimbo hilo gari la kuhudumia shughuli za mazishi ambalo litatumiwa na wananchi wote bila gharama yoyote. Gari hilo maalum la huduma za mazishi limekabidhiwa leo kwa wananchi wa Dodoma chini ya uratibu wa Ofisi …

Soma zaidi »

TANZANIA KINARA WA KUVUTIA WAWEKEZAJI AFRIKA MASHARAIKI

Tanzania imeendela kuweka rekodi ya kuvutia wawekezaji kwa nchi zilizopo ukanda wa Afrika Mashariki kwa kuwa na mtaji wa uwekezaji wa Dola Bilioni 1.18, ikifuatiwa na Uganda wenye uwekezaji wa dola za kimarekani 700 Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) …

Soma zaidi »

UPANUZI WA BANDARI GATI NAMBA MOJA WAFIKIA ASILIMIA 100

Upanuzi wa bandari ya Dar es Salaam umefikia hatua nzuri baada ya kukamilka kwa upanuzi wa gati namba moja kwa asilimia 100 huku meli ya kwanza ikitarajiwa kutia nanga wiki moja ijayo ikishuhudiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano. Hayo yameelezwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi …

Soma zaidi »