Recent Posts

BENKI YA DUNIA IMERIDHIA KUTOA DOLA ZA MAREKANI MILION 300

Benki ya Dunia imeridhia kutoa Dola za Marekani Milioni 300 sawa na shilingi Bilioni 680.5 kwa Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza ubora wa elimu ya sekondari unaokusudiwa kujenga vyumba vya madarasa, mabweni, maabara, nyumba za watumishi na kununua vifaa vya kufundishia. Makamu wa Rais wa Benki …

Soma zaidi »

GST YAAGIZWA KUANDAA RAMANI ZA MADINI NGAZI ZA MIKOA, WILAYA

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania  (GST) imetakiwa kuandaa ramani zinazoonyesha madini mbalimbali katika ngazi ya Mikoa na Wilaya ili kuwapa nafuu watanzania wanaofanya shughuli za uchimbaji wa madini nchini. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko   baada ya kupokea taarifa ya Utafiti wa Jiokemia …

Soma zaidi »

Wakandarasi wa Umeme Acheni Visingizio – Waziri wa Nishati

Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewataka wakandarasi wanaotekeleza Mradi ya kusambaza umeme vijijini (REA III) kuacha visingizio vinavyochelewesha mradi huo kukamilika kwa wakati. Dkt. Kalemani alitoa agizo hilo wakati akizungumza wakandarasi wanaotekeleza mradi huo katika mikoa ya Mwanza na Manyara juu ya maendeleo ya utekelezaji REA III, mzunguko wa kwanza …

Soma zaidi »

Nasisitiza Zingatia Afya ya Mfanyakazi – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasan amewataka wamiliki wa migodi na viwanda vya kuchenjua madini nchini kuzingatia haki na usalama wa wafanyakazi wao.   Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha Godmwanga Gems Ltd kinachotengeneza madini ya Kinywe (Graphite), Mirerani …

Soma zaidi »

Tutangulize maslahi ya Taifa na si maslahi binafsi – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi na Watendaji wa mkoa wa Kilimanjaro kufanya kazi kwa kushirikiana, kuheshimiana na kupendana. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo. …

Soma zaidi »