HAIWEZEKANI!; NCHI YENYE WATU ZAIDI YA MIL.55 IKOSE WATU 11 WA KUCHEZA MPIRA NA KUSHINDA! – RAIS MAGUFULI

  • Awaambia Stars Watanzania wamechoka kushuhudia wanafungwa katika kila mashindano.
  • Asisitiza mwenendo wa kushindwa kwa timu za Tanzania katika mashindano ya kimataifa, ni aibu kubwa.
  • Anachukizwa na rushwa pamoja na wizi uliokuwa unafanywa na viongozi wa soka nchini.
  • Awataka viongozi wa mpira wa miguu nchini kuhakikisha wachezaji wa timu ya Taifa wanauzalendo na kulipigania Taifa.
  • Awataka Taifa Stars kuwa waadilifu wenye malengo ya kuiletea heshima nchi yetu.
  • Atoa mchango wa Tsh. Mil. 50
  • Awaagiza wizara na TFF kuwa pesa hizo zitawa ‘cost’ kama timu ya Taifa ikishindwa kufuzu fainali za Mashindano ya Mataifa ya Afrika yanayofanyika mwakani huko nchini Cameron.

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI UMMY AWATAKA WAZAZI KUWEKEZA KATIKA AFYA ZA WATOTO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wazazi kuwekeza …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *