Recent Posts

MARUFUKU KUPIMA MASHAMBA BILA KUPANGWA – WAZIRI LUKUVI

Serikali imezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha zinatoa vibali vya ujenzi wa nyumba ndani ya siku tatu na kazi hiyo isimamiwe na Maofisa Mipango Miji. Aidha, imesisitiza kuwa zoezi la urasimishaji katika maeneo yaliyojengwa nyumba kiholela lazima yarasimishwe na zoezi hilo halitakiwi kubomoa nyumba ya mtu yoyote. Kauli hiyo imetolewa leo …

Soma zaidi »

UJENZI WA MGODI WA MFANO LWAMGASA UMEKAMILIKA KWA 80%

Hadi kufikia Septemba, 2018 kazi ya Ujenzi wa Mgodi wa Mfano Lwamgasa na usimikaji wa mitambo ya uchenjuaji imekamilila kwa asilimia 80 Mkoani Geita. Lengo la mgodi huo ni kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo kuhusu uchimbaji sahihi  na uchenjuaji bora wa madini ya  dhahabu. Mgodi wa Mfano wa Lwamgasa ambao …

Soma zaidi »

MSIMAMO WETU NI ULEULE KUHUSU MKATABA WA EPA – Prof. KABUDI

Waziri wa Katiba na Sheria Prof.Palamagamba Kabudi ameongoza ujumbe wa Tanzania ulioshiriki mkutano wa pamoja wa 16 wa Mawaziri wa Biashara wa nchi za Afrika, Karibeani na Pasifiki (ACP) na Umoja wa Ulaya (EU) uliofanyika jijini Brussels nchini Ubelgiji Oktoba 26, 2018. Mbali na Mkutano huo, Mheshimiwa Profesa Kabudi alishiriki …

Soma zaidi »