Ni Bandari Zote Zinazopokea Mafuta ghafi nchini Katika kuhakikisha Bandari zote nchini zinafanya kazi ipasavyo kama inavyotakiwa Serikali imesema utaratibu za ufungaji wa flow meter katika bandari zote nchini ziko katika hatua za mwisho baada ya taratibu zote kukamilika. Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amsema hayo wakati wa kikao …
Soma zaidi »Recent Posts
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA ENEO LA MBEGANI ITAKAPOJENGWA BANDARI MPYA YA BAGAMAYO
NECTA: MATOKEO YOTE YA MTIHANI DARASA LA SABA 2018
BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YOTE
Soma zaidi »HAIWEZEKANI!; NCHI YENYE WATU ZAIDI YA MIL.55 IKOSE WATU 11 WA KUCHEZA MPIRA NA KUSHINDA! – RAIS MAGUFULI
Awaambia Stars Watanzania wamechoka kushuhudia wanafungwa katika kila mashindano. Asisitiza mwenendo wa kushindwa kwa timu za Tanzania katika mashindano ya kimataifa, ni aibu kubwa. Anachukizwa na rushwa pamoja na wizi uliokuwa unafanywa na viongozi wa soka nchini. Awataka viongozi wa mpira wa miguu nchini kuhakikisha wachezaji wa timu ya Taifa …
Soma zaidi »LIVE: KONGAMANO LA MAKAMPUNI BORA 100 YA KATI TANZANIA.
#MATAGA #SisiNiTanzaniaMpyA+
Soma zaidi »MATUMIZI YA GESI KUZALISHA UMEME YAOKOA USD 10.29 BILIONI
Imeelezwa kuwa, matumizi ya gesi asilia katika kuzalisha umeme yameokoa fedha za kigeni kiasi cha Dola za Marekani bilioni 10.29 ambazo zingetumika kununua mafuta nje ya nchi kwa ajili ya kuzalisha umeme kutoka mwaka 2004 hadi Septemba 2018. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo …
Soma zaidi »JK – JPM Anafanya Kazi Nzuri Sana!
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo yao Mhe. Rais Mstaafu Kikwete amesema wamekutana kwa utaratibu wa kawaida wa kusalimiana na kutakiana heri katika majukumu. “Nimekuja kumsalimia nakumtakia …
Soma zaidi »LIVE: Uzinduzi wa Maonesho ya Viwanda Vidogo Kitaifa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ndiye Mgeni Rasmi Umafanyika Mkoani Simiyu katika viwanjwa vya Nyakabimbi. Fuatilia moja kwa moja katika link hii..
Soma zaidi »UFAFANUZI WA UDAHILI WA WANAFUNZI MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM.
Ni ule wa kufutiwa kuchaguliwa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/19 zaidi ya 680. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – Taaluma Prof. Bonaventure Rutinwa atoa ufafanuzi. Fuatilia katika video hii Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako atoa maelekezo kwa Chuo …
Soma zaidi »BARRICK GOLD CORPORATION YASALIMU AMRI KWA SERIKALI YA TANZANIA
Yakubali kampuni yake ya Acacia ilifanya makosa katika kuendesha shughuli zake nchini. Ni baada ya kubainika kwa wizi wa madini katika makinikia na serikali kuzuia makontena yote bandarini, Mkuu wa Barrick alijitokeza na kuomba suluhu wayamalize. Baada ya siku chache, timu ya viongozi waandamizi na wanasheria wa Barrick, walifika nchini …
Soma zaidi »