- Kazi ya kuitoa ndani ya ziwa yaendelea kwa mafanikio
- Kwa asilimia kubwa kivuko chote kinaelea juu ya maji katika ziwa Victoria.
- Pongezi za thati kwa serikali, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo anayesimamia zoezi zima na Jeshi lote kwa kazi nzito yenye mafanikio makubwa. Tunatoa pole sana kwa Watanzania wote kwa msiba huu mzito.
https://vimeo.com/user63874414/review/292118657/3914ba7476
Ad