MKUU WA MKOA WA RUVUMA:Kila mmoja asimamie lishe bora

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bibi Christina Mndeme amesaini mkataba wa kusimamia suala la LISHE na Wakuu wa Wilaya wenye lengo la kuongeza uwajibikaji katika suala la kukabiliana na tatizo la Utapiamlo ndani ya Mkoa huo.

Aidha Mkuu wa Mkoa amewaasa wananchi kila mmoja kushiriki kikamilifu katika kusimamia suala la Lishe Bora kuanzia ngazi ya kaya na kuendelea ili kuwa jamii yenye afya bora na sio bora afya.

Ad

Ad

Unaweza kuangalia pia

MWANAFUNZI WA MALANGALI AINGIA KUMI BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

#SisiTumeona SISI WATANZANIA TUNAWEZA Hivi sasa watoto wetu wanapata elimu bure bila malipo! ——————————— Matokeo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *