Recent Posts

TAKUKURU; HANSPOPE WA SIMBA, ANAYEFAHAMU ALIPO ATUPE TAARIFA HARAKA

Waahidi donge nono kwa yeyote atakayetoa taarifa za alipo Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba Zacharia Hanspope Pia, taarifa zinahitajika kwa yeyote anayefahamu alipo Franklin Lauo aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo ambaye alitumia rushwa na kupata tenda ya ujenzi wa Kiwanja cha Mpira wa Miguu cha klabu …

Soma zaidi »

UJENZI WA AIRPORT MPYA UMEFIKIA 81%

• Ni uwanja wa Ndege wa Kisasa na bora zaidi kwa Afrika Mashariki na Kati • Jina lake litabaki lile lile Uwanja waNdege wa Kimataifa (Julius Nyerere Julius Nyerere International Airport) • Huduma kwa wasafiri kuongezeka kwa 400% ambapo itakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 6 kwa mwaka kutoka …

Soma zaidi »

IRINGA: “Unganishiwa umeme kwa bei nafuu ya mradi wa REA ya shilingi elfu 27 tu” Mhe.Kalemani

YALIYOJIRI KWENYE KIPINDI CHA TUNATEKELEZA KILICHOMUHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, DKT. MEDARD KALEMANI 13/09/2018. #Mradi wa Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme uliopo Makambako, umekamilika   #Utekelezaji wa mradi huu ulianza Septemba 2016, pia ni miongoni mwa miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali kupitia Ilani ya Chama cha Mapinduzi #Sehemu ya kwanza …

Soma zaidi »

IRINGA: Ziara ya Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi yaibua makubwa

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi ameagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na uchunguzi wa jinai kwa watendaji mbalimbali wa kijiji cha utosi, kata Sadani akiwemo katibu tarafa wa Sadani kwa makosa mbalimbali wanayotuhumiwa. Katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi kijiji cha Utosi tarafa ya SADANI, wananchi …

Soma zaidi »

SIKILIZA Radio chanyA+ REDIO YA MTANDAONI BURE

• Ni redio inayosimulia na kufafanua Matokeo ChanyA+ yanayofanywa kila dakika, kila saa TANZANIA 🇹🇿 katika ujenzi wa Taifa lenye uchumi imara na madhubuti kwa mkunufaisha wananchi wote. BOFYA • Ni redio iliyosheheni hotuba za kizalendo za viongozi wakuu wa nchi, makala ChanyA+ za miradi inayotekelezwa na serikali kwa sasa, …

Soma zaidi »

CHAMWINO: “Kaitumie sheria inayokupa mamlaka ya kuwafikisha mahakisha mahakamani wala rushwa ‘DIRECT’ bila kupita kwa yeyote” – RAIS MAGUFULI

Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, wamekula kiapo mbele yake katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma siku ya Jumatano Septemba 12, 2018. “Nenda ukafanye kazi.” Kauli ya Rais Magufuli akimuagiza Mkurugenzi wa mpya wa Taasisi ya Kusuia na Kupambana na …

Soma zaidi »