SIKILIZA Radio chanyA+ REDIO YA MTANDAONI BURE

• Ni redio inayosimulia na kufafanua Matokeo ChanyA+ yanayofanywa kila dakika, kila saa TANZANIA 🇹🇿 katika ujenzi wa Taifa lenye uchumi imara na madhubuti kwa mkunufaisha wananchi wote.

BOFYA

• Ni redio iliyosheheni hotuba za kizalendo za viongozi wakuu wa nchi, makala ChanyA+ za miradi inayotekelezwa na serikali kwa sasa, vibwagizo na nyimbo za kujenga na kukuza uzalendo kwa Taifa letu, Makala za historia ya Taifa letu sambamba na juhudi za ukombizi, historia ya viongozi wetu, vipande vya hotuba za viongozi waandamizi wa serikali vinavyohamasisha ari, uadilifu, uchapaji kazi na mwongozo wa ujenzi wa Tanzania mpyA+ pamoja na matangazo ya moja kwa moja ya matukio ya kitaifa yanayohusisha viongozi wa Taifa letu

Ad

sikiliza MUDA HUU kwa kutumia simu yako/ laptop/ kopyuta kwa kubofya link hii

http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz

#SisiNiTanzaniaMpyA+

#MATAGA

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Februari, 2020 amekutana na Katibu Mtendaji wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *