Ziwa Ngosi

MBEYA: Uzuri wa ziwa Ngosi Nchini Tanzania Lenye umbo la Afrika

Ziwa Ngosi.png

Ziwa Ngosi linapatikana milima ya Upoto, Mkoa wa Mbeya nyanda za juu kusuni mwa Tanzania, ziwa hili linatajwa na mlipuko wa volkano ni tofauti na maziwa mengine kama ziwa victoria au ziwa nyasa.

Upekee au utofauti wa ziwa hili ni kwamba ziwa hili liko juu ya milima na katikati ya misitu na lina urefu wa km2.5, upana wake ni km 1.5, kina chake ni mita 74 na lina ukubwa wa hecta 9332.

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za Watoto

Tarehe 4 hadi 5 Aprili 2024, umefanyika Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *