Recent Posts

WIZARA MPYA TUCHAPE KAZI KWA KASI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile(wa pili kulia) akifungua baraza la wafanyakazi la Wizara hiyo lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma. Kulia ni Naibu wake Mhandisi Kundo Mathew, wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula na kushoto ni Naibu Katibu …

Soma zaidi »

UTARATIBU MBOVU KUIGHARIMU BENKI IWAPO FEDHA ZA MTEJA ZITAIBWA

Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) hutoa adhabu kwa Benki yeyote itakayobainika kusababisha fedha za mteja kuibwa kutokana na utaratibu uliowekwa na Benki husika kuwa na kasoro. Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi, Hamad Yussuf Masauni (Mb), alipokuwa akijibu swali …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI WAANZA KAZI RASMI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja na Naibu Katibu Mkuu, Kheri Abdul Mahimbali wakiwa katika mazungumzo mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara ya Nishati, Mtumba jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja na Naibu Katibu Mkuu, Kheri Abdul Mahimbali, tarehe 8 …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akitokea Zanzibar leo tarehe 08 Aprili 2021.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Soma zaidi »

DKT. NCHEMBA: TUTABORESHA MASUALA YA KODI NA KUSIMAMIA MATUMIZI YA SERIKALI

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewahakikishia wafanyabiashara hapa nchini kuwa Wizara yake itahakikisha inarejesha taswira na mahusiano mazuri nao katika masuala yakodi ili kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na kusisimua uchumi wa nchi. Dkt. Nchemba alitoa ahadi hiyo Ikulu …

Soma zaidi »

WALIO HAMISHA FEDHA ‘BANK’ WAZIRUDISHE – WAZIRI WA FEDHA MWIGULU

Serikali imetoa rai kwa wafanyabiashara wote waliotoa fedha zao kwenye mabenki wakiogopa zitachukuliwa baada ya akanti zao kuonekana na fedha nyingi kuzirejesha kwa hiari na kuendelea na utaratibu wa kutumia benki kutunza fedha zao. Pia imewataka watendaji walio na jukumu la kukusanya kodi kuhakikisha wanakusanya kodi kwa wafanyabiasha kwa kuzingatia …

Soma zaidi »