Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiwa Mkoani Njombe Januari 30, 2021 amesema kuwa, Serikali imeanza maandalizi ya ujenzi wa miradi miwili mikubwa ya kufua umeme wa jumla ya megawati 580 kwa njia ya maji ambayo ni, Mradi wa Ruhudji na Mradi wa Rumakali yote kwa pamoja ikiwa Mkoani Njombe.Alieleza …
Soma zaidi »Recent Posts
DKT. KALEMANI: TUMEKUSUDIA KUZALISHA UMEME WA JOTOARDHI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuwa mikoa ya Mbeya na Songwe inavyanzo vya nishati ya jotoardhi vyenye uwezo wa kuzalisha megawati 165 za umeme nishati ya jotoardhi. Amesema hayo alipotembelea eneo la majimoto lililoko wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe. Ameeleza kuwa miradi ya kipaumbele ya Kampuni ya Uendelezaji …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AWABANA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUONGEZA KASI UTOAJI HATI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka Watendaji wote wa sekta ya ardhi katika halmashauri kushiriki zoezi la kuandaa hati za ardhi ili kuongeza kasi ya utoaji hati katika maeneo mbalimbali nchini. Dkt Mabula ametoa agizo hilo mwishoni mwa wiki alipozungumza na wataalamu wa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: VIONGOZI WA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI WAENDELEZWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema viongozi wote wa Sekta za umma na binafsi wanatakiwa waendelezwe kitaaluma kwa ajili ya kukuza weledi, ubunifu na maadili ili waweze kusimamia ipasavyo maendeleo na kuongeza tija na mapato ya Taifa. Amesema katika kipindi hiki ambacho nchi imeingia katika uchumi wa kati, Serikali ingependa kuona …
Soma zaidi »WAZIRI MWAMBE AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA DANGOTE PAMOJA NA WAZALISHAJI WA SUKARI NCHINI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Geoffrey Mwambe,akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu na Meneja wa kiwanda cha Dangote nchini Tanzania Bw.Abdullahi Baba mara baada ya mazungumzo ofisini kwake leo Januari 29,2021 jijini Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Geoffrey Mwambe, amekutana na wazalishaji wa Sukari nchini …
Soma zaidi »RAIS DKT. MWINYI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MAELEWANO (MoU) UJENZI WA BANDARI MANGAPWANI NA MJI WA KISASA BUMBWINI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza baada ya kumalizika utiaji wa Saini Hati ya Maelewano (MoU) ya ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani na ujenzi wa Mji wa Kisasa Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Makamu wa Pili …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AMEIPANDISHA HADHI HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA KUWA MANISPAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chapulwa Kahama mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Nafaka, Vinywaji na Maziwa (Kom Limited) Kahama mkoani Shinyanga leo tarehe 28 Januari 2021. Rais Dkt. John Magufuli ameipandisha hadhi Halmashauri …
Soma zaidi »CHUO CHA UHASIBU ARUSHA CHASAINI MKATABA NA TFF KUENDELEZA SOKA NCHINI.
Na: Eleuteri Mangi- WHUSM, Arusha. Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano na Shirikisho la Soka nchini (TFF) ili kuendelea kukuza michezo nchini. Rais wa TFF Wales Karia Kushoto na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Prof. Eliamani Sedoyeka Kulia Wakionesha Mkataba wa Ushirikiano Waliosaini Kuendeleza …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA DEGE KIGAMBONI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI UMMY ATAKA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU KUJUMUISHWA NA KUJADILIWA KWENYE MABARAZA YA MKOA NA WILAYA
Sehemu ya Viongozi wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Mkoa wa Tabora na watendaji katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakisikiliza kwa makini maelezo ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi katika mkoa huo. …
Soma zaidi »