NAIBU WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA DEGE KIGAMBONI

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati  alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati  alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26 kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi.Sarah Msafiri.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akioneshwa transfoma kubwa ya umeme na Mhandisi Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco  wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akioneshwa mitambo mbalimbali ya kupoza umeme iliyofungwa kwenye kituo hicho na Mhandisi Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati  alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akioneshwa mifumo mbalimbali inayofungwa katika kituo hicho cha  kupoza umeme  na Mhandisi Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati  alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26.
Baadhi ya mitambo iliyofungwa katika kituo hicho inavyoonekana.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato pia ametembelea mitambo ya kufua umeme wa gesi Kinyerezi II na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa katika mitambo hiyo.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipokea taarifa ya uzalishaji katika mitambo hiyo.
Mhandisi Innocent Luoga akimuongoza Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato wakati alipokuwa akitembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Kinyerezi II.

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha ili kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuwa maendeleo endelevu ya taifa hayawezi kufikiwa bila ushiriki thabiti wa sekta binafsi

Amesema kuwa sekta ya fedha ni kichocheo kikubwa katika ukuaji wa Uchumi na ustawi wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *