Waziri Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Selemani Jafo amesema kuwa serikali imekuwa ikifuatilia ukusanyaji wa Mapato katika Halmashauri zote ili kuweza kufanikisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri zote nchini. Waziri Jafo amesema hayo wakati akitoa taarifa ya makusanyo ya mapato ya Halmashauri zote nchini Mkoani Dodoma. MAKUSANYO …
Soma zaidi »MABENKI YETU, SASA TAMBUENI MADINI KAMA DHAMANA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO – WAZIRI MKUU
“Mabenki yetu anzisheni utaratibu wa kuweka.. dhamana, kuweka madini ya wananchi.. nunueni dhahabu. Nunueni dhahabu; Ili hawa wananchi badala ya kuhangaika kwenda kwenye minada amabapo wanalaliwa laliwa, aende benki ahifadhi kule.” – Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa “Badala ya kuleta fedha eweke madini yake.. atakuja kuyachukua mwakani nayo yatakuwa yameongezeka thamani. …
Soma zaidi »MKOA WA SONGWE KUZINDUA KAMPENI ZA UPIMAJI AFYA BURE
Mkoa wa Songwe, kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto kupitia mpango wa kitaifa wa kudhibiti UKIMWI NACP Kwa kushirikiana na shirika la MHRP – HJRMRI wameandaa huduma za upimaji wa afya zitakazo tolewa bure mkoani humo. Hayo yamesemwa na mkuu wa Mkoa Bri. Jen Nicodemas …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI:NITABADILISHA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Rais Dkt John Magufuli, amezindua flyover ya MFUGALE hii leo katika makutano Tazara jijini Dar Es Salaam. Rais Magufuli amesema kuwa flyover hiyo imepewa jina hilo kutokana na kazi nyingi alizofanya Injinia Patrick Mfugale, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS),kwa uaminifu mkubwa na kwa kutanguliza utanzania badala …
Soma zaidi »LIVE: Kutoka Iringa
Mkuu wa Mkoa Mhe. Ali Hapi akisikiliza kero, maswali ya wananchi na kutafutia majibu na utatuzi. Bofya link hii kufuatilia moja kwa moja. #MATAGA
Soma zaidi »MKUU WA MKOA WA RUVUMA:Kila mmoja asimamie lishe bora
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bibi Christina Mndeme amesaini mkataba wa kusimamia suala la LISHE na Wakuu wa Wilaya wenye lengo la kuongeza uwajibikaji katika suala la kukabiliana na tatizo la Utapiamlo ndani ya Mkoa huo. Aidha Mkuu wa Mkoa amewaasa wananchi kila mmoja kushiriki kikamilifu katika kusimamia suala la …
Soma zaidi »IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi Atilia shaka Jengo la Milioni 55
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi akiwa katika ziara ya kutembelea Mkoa wake Katika ziara hii atatembelea tarafa zote 15 za Mkoa wa Iringa, kusafiri kilomita 2611, kufanya mikutano mikubwa 15 ya kusikiliza kero za waanchi tarafa kwa tarafa na kukagua miradi yenye thamani ya bilioni 78.1. https://www.youtube.com/watch?v=d5ggteqZ05c “Nimekataa …
Soma zaidi »DSM: “Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam” Paul Makonda
Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kati yao, watu 6,667 walipigwa faini na kuwezesha kupatikana kwa fedha kiasi cha Sh346 milioni, ambacho nusu yake imetumika kuwalipa mgambo ambao wanatekeleza kampeni hiyo. Akizungumza kwenye mkutano na wadau wa usafi na …
Soma zaidi »IRINGA: Asilimia 90 ya mitambo inayozalisha karatasi katika kiwanda cha Mgololo ni ile iliyonunuliwa na serikali ya awamu ya kwanza
Asilimia 90 ya mitambo inayozalisha karatasi katika kiwanda cha Mgololo ni ile iliyonunuliwa na serikali ya awamu ya kwanza ya Baba wa taifa hayati mwalimu Julius Nyerere miaka ya 1980. Nimetaka maelezo kwanini haujafanyika uwekezaji mpya wa kutosha?
Soma zaidi »Mhe. ANTONY MTAKA Ni nani? Historia yake hii hapa.
“Nimeuliza ripoti ya Wakuu wa Mikoa Tanzania wanaofanya vizuri, wakaniletea ANTHONY MTAKA ndiye Namba Moja, na Namba Mbili ni yeye. Kwa kifupi hana mfano” Mh. Rais Dr. JPM, Simiyu. Je ni nani huyu Mkuu wa Mkoa Mhe. MTAKA.. na ametokea wapi? Mheshimiwa MTAKA anajipambanua katika sifa zifuatazo:- 1. Mkuu wa …
Soma zaidi »