“Ninachowaomba nyinyi wasomi na Watanzania wote tuwe wazalendo, tusikubali kutumiwa, tuchape kazi na tushikamane kwa kuweka mbele maslahi ya Taifa letu” amesisitiza Mhe. Rais Mafuguli. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema hayo katika kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kujadili hali ya uchumi na siasa nchini …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: November 1, 2018
TANZANIA YAJIKITA KUFIKIA NCHI YA UCHUMI WA KATI KUPITIA TEHAMA
Serikali imejikita katika kuhakikisha kuwa Sekta ya TEHAMA inakuwa chachu ya kufikia kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ili kutimiza malengo ya millennia ya maendeleo endelevu kabla ya mwaka 2030. Hayo yamesemwa na Naibu Katibuu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Jim Yonazi jijini …
Soma zaidi »SERIKALI YAANZA MAZUNGUMZO NA UJERUMANI YA MGAO WA MAPATO YATOKANAYO NA MJUSI MKUBWA ‘DINOSAUR’ KUPITIA WATALII
Serikali ya Tanzania kupitia Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Japhet Hasunga imesema ipo kwenye hatua za awali za mazungumzo na Serikali ya Ujerumani kuona jinsi itakavyofaidika na mapato yatokanayo na utalii kupitia mabaki ya Mjusi mkubwa ‘’Dinosaurs ambaye ni kivutio cha kikubwa cha utalii katika jumba la Makumbusho nchini …
Soma zaidi »