Maktaba ya Kila Siku: November 20, 2018

MUFTI: “NI LAZIMA DINI TUKEMEE USHOGA!”

Ni Mufti Abubakar Zuberi bin Ally Asema hayo alipokuwa akizungumza katika Baraza la Kitaifa la Maulid lililofanyika Korogwe mkioani Tanga. Amesema haiwezekani waumin wabaki wanafanya ibada lakini vitendo vya ushoga vinatokea na wanaovifanya wanaonekana na kuachwa bila kukemewa. Adai kidin, yapo mambo mawili; La kwanza ni kukataza (kukemea) na kuamrisha …

Soma zaidi »

“Njia pekee ya kuwalinda watoto wa Kike ni kuwapeleka shule” – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  amemaliza ziara yake ya siku 5 mkoani Manyara. Akizungumza kwenye kikao cha majumuisho ambacho kilihudhuriwa na Viongozi na Watendaji wa mkoa huo Makamu wa Rais aliwapongeza kwa kazi nzuri wanayofanya na kuainisha maeneo kadhaa ambayo yanatakiwa kutupiwa …

Soma zaidi »