Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akipanda mti wa muembe katika eneo la Kituo cha Afya Kianga Wilaya ya Magharibi A Unguja baada ya kuweka jiwe la msingi leo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo.

RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI A UNGUJA

KITUO CHA AFYA
Jengo Jipya la Kituo Cha Afya Kijiji cha Kianga lilijengwa na Tasaf na Nguvu za Wananchi kilichowekwa jiwe la Msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, leo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Magharibiu A Unguja.
RAIS DKT SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Kituo cha Afya Kianga, Wilaya ya Magharibi A Unguja, akiendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI YA MADINI YA BARRICK

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *