Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kihuwe, Wilaya ya Nachingwea, Mkoa wa Lindi, Februari 25, 2019, akiwa katika ziara ya kazi, ambapo pia aliwasha rasmi umeme katika kijiji hicho.

NAIBU WAZIRI NISHATI ATAKA BUSARA ITUMIKE KUUNGANISHA UMEME VIJIJINI

  • Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kutumia busara katika kazi hiyo ili iwaongoze kufanya maamuzi sahihi hususan uunganishaji umeme katika taasisi na miradi ya umma.
MWANANCHI
Mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Kihuwe, wilayani Nachingwea, Mkoa wa Lindi, Samwel Ndungo akiuliza swali na kueleza changamoto kwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (hayupo pichani), alipofika katika kijiji hicho kuwasha rasmi umeme na kuzungumza na wananchi, akiwa katika ziara ya kazi, Februari 25, 2019.
  • Alitoa wito huo kwa nyakati tofauti jana, Februari 25 mwaka huu, akiwa katika ziara ya kazi wilayani Nachingwea, Mkoa wa Lindi.
  • Akizungumza ofisini kwa Mkuu wa Mkoa na baadaye katika vijiji vya Kihuwe, Muungano na Mapochero, ambavyo aliviwashia umeme rasmi; Naibu Waziri alisisitiza kuwa pamoja na kila mkandarasi kuwa na wigo wa eneo analopaswa kuunganisha umeme, lakini siyo busara kwake kuruka taasisi za umma na miradi muhimu kama vile ya maji, afya na mingineyo kwa sababu tu iko nje ya wigo.
WANANCHI
Sehemu ya umati wa wananchi wa kijiji cha Mapochelo, Wilaya ya Nachingwea, Mkoa wa Lindi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wananchi wa kijiji hicho, alipokuwa katika ziara ya kazi ambapo pia aliwasha rasmi umeme katika kijiji hicho.
  • “Unafika eneo, unaona Zahanati ile pale, akina mama wanajifungua gizani; Shule ile pale, kuna hosteli, unaziachaje bila umeme sababu tu hazipo ndani ya wigo! Mkandarasi unapaswa kutumia busara, ikibidi tuandikie sisi Serikali, tuone namna gani gharama husika zitalipwa ili maeneo kama hayo yasikose umeme,” alisema.
  • Katika hatua nyingine, Naibu Waziri alisema kuwa serikali inaendelea kujivunia kugundulika kwa gesi katika mikoa ya kusini na kwamba watanzania wanapaswa kufahamu kwamba serikali imedhamiria kuitumia ipasavyo.
WANAFUNZI
Sehemu ya umati wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Namatula, iliyopo wilayani Nachingwea, Mkoa wa Lindi, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (hayupo pichani), alipokuwa akizungumza nao, kabla ya kuwasha rasmi umeme katika shule hiyo, Februari 25, 2019.
  • Akifafanua, alisema gesi inapaswa itumike katika viwanda vya mbolea, majumbani na katika kuzalisha umeme. Hivyo, aliwataka wananchi kupuuza maneno yanayosemwa na baadhi ya watu kuwa serikali haitoi tena kipaumbele kwa gesi iliyogunduliwa mikoa ya kusini.
  • Naibu Waziri alifafanua zaidi kuwa, ili kupata umeme mwingi, wenye bei nafuu na wa uhakika; ni lazima serikali ihakikishe inatumia vyanzo mbalimbali vya kuzalisha umeme ikiwemo maji, upepo, jua, gesi, tungamotaka na vinginevyo.
  • “Ndiyo maana tunaanzisha miradi mbalimbali ya kuzalisha umeme ambayo inatumia vyanzo mbalimbali, siyo gesi peke yake. Ni muhimu mkalitambua hilo kwamba, kama nchi, hatuwezi kutumia gesi peke yake katika kuzalisha umeme, tukaacha vyanzo vingine. Inabidi tutumie vyanzo vyetu vyote tulivyojaaliwa na Mungu.”
NAIBU WAZIRI
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kihuwe, Wilaya ya Nachingwea, Mkoa wa Lindi, Februari 25, 2019, akiwa katika ziara ya kazi, ambapo pia aliwasha rasmi umeme katika kijiji hicho.
  • Akizungumzia utekelezaji wa miradi ya kupeleka umeme maeneo mbalimbali ya nchi hususan vijijini, Naibu Waziri alisema kazi hiyo inaendelea kufanyika  kwa ufanisi ambapo sasa serikali imewaelekeza wakandarasi wa miradi hiyo kuhakikisha wanawasha umeme katika vijiji vitatu kila wiki kwa kila mkandarasi.
  • Hata hivyo, aliwataka wananchi kuwa na subirá kwani kazi ya kuunganisha umeme inatekelezwa hatua kwa hatua.
  • Naibu Waziri anaendelea na ziara yake mkoani Lindi ambapo amefuatana na wataalamu mbalimbali kutoka wizarani, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Ad

Unaweza kuangalia pia

TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa …

176 Maoni

  1. Laure Boulleau https://laure-boulleau.prostoprosport-fr.com French football player, defender. She started playing football in the Riom team, in 2000 she moved to Isere, and in 2002 to Issigneux. All these teams represented the Auvergne region. In 2003, Bullo joined the Clairefontaine academy and played for the academy team for the first time.

  2. Son Heung Min https://sonheung-min.prostoprosport-br.com South Korean footballer, striker and captain of the English Premier League club Tottenham Hotspur and the Republic of Korea national team. In 2022 he won the Premier League Golden Boot. Became the first Asian footballer in history to score 100 goals in the Premier League

  3. Antoine Griezmann https://antoine-griezmann.prostoprosport-fr.com French footballer, striker and midfielder for Atletico Madrid. Player and vice-captain of the French national team, as part of the national team – world champion 2018. Silver medalist at the 2016 European Championship and 2022 World Championship.

  4. In January 2010, Harry Kane https://harry-kane.prostoprosport-fr.com received an invitation to the England U-team for the first time 17 for the youth tournament in Portugal. At the same time, the striker, due to severe illness, did not go to the triumphant 2010 European Championship for boys under 17 for the British.

  5. Karim Mostafa Benzema https://karim-benzema.prostoprosport-fr.com French footballer, striker for the Saudi club Al-Ittihad . He played for the French national team, for which he played 97 matches and scored 37 goals.

  6. Achraf Hakimi Mou https://achraf-hakimi.prostoprosport-fr.com Moroccan footballer, defender of the French club Paris Saint-Germain “and the Moroccan national team. He played for Real Madrid, Borussia Dortmund and Inter Milan.

  7. Sweet Bonanza https://sweet-bonanza.prostoprosport-fr.com is an exciting slot from Pragmatic Play that has quickly gained popularity among players thanks to its unique gameplay, colorful graphics and the opportunity to win big prizes. In this article, we’ll take a closer look at all aspects of this game, from mechanics and bonus features to strategies for successful play and answers to frequently asked questions.

  8. Bernardo Silva https://bernardo-silva.prostoprosport-fr.com Portuguese footballer, midfielder. Born on August 10, 1994 in Lisbon. Silva is considered one of the best attacking midfielders in the world. The football player is famous for his endurance and performance. The athlete’s diminutive size is more than compensated for by his creativity, dexterity and foresight.

  9. Kylian Mbappe Lotten https://kylian-mbappe.prostoprosport-fr.com Footballeur francais, attaquant du Paris Saint-Germain et capitaine de l’equipe de France. Le 1er juillet 2024, il deviendra joueur du club espagnol du Real Madrid.

  10. Philip Walter Foden https://phil-foden.prostoprosport-fr.com better known as Phil Foden English footballer, midfielder of the Premier club -League Manchester City and the England national team. On December 19, 2023, he made his debut at the Club World Championship in a match against the Japanese club Urawa Red Diamonds, starting in the starting lineup and being replaced by Julian Alvarez in the 65th minute.

  11. Jogo do Tigre https://jogo-do-tigre.prostoprosport-br.com is a simple and fun game that tests your reflexes and coordination. In this game you need to put your finger on the screen, pull out the stick and go through each peg. However, you must ensure that the stick is the right length, neither too long nor too short.

  12. Mohamed Salah Hamed Mehrez Ghali https://mohamed-salah.prostoprosport-fr.com Footballeur egyptien, attaquant du club anglais de Liverpool et l’equipe nationale egyptienne. Considere comme l’un des meilleurs footballeurs du monde

  13. Declan Rice https://declan-rice.prostoprosport-fr.com Footballeur anglais, milieu defensif du club d’Arsenal et de l’equipe nationale equipe d’Angleterre. Originaire de Kingston upon Thames, Declan Rice s’est entraine a l’academie de football de Chelsea des l’age de sept ans. En 2014, il devient joueur de l’academie de football de West Ham United.

  14. Declan Rice https://declan-rice.prostoprosport-fr.com Footballeur anglais, milieu defensif du club d’Arsenal et de l’equipe nationale equipe d’Angleterre. Originaire de Kingston upon Thames, Declan Rice s’est entraine a l’academie de football de Chelsea des l’age de sept ans. En 2014, il devient joueur de l’academie de football de West Ham United.

  15. Olivier Jonathan Giroud https://olivier-giroud.prostoprosport-fr.com French footballer, striker for Milan and the French national team. Knight of the Legion of Honor. Participant in four European Championships (2012, 2016, 2020 and 2024) and three World Championships (2014, 2018 and 2022).

  16. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thhibaut-courtois.prostoprosport-fr.com Footballeur belge, gardien de but du club espagnol du Real Madrid . Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Triple vainqueur du Trophee Ricardo Zamora

  17. Carlos Henrique Casimiro https://carloscasemiro.prostoprosport-br.com Futebolista brasileiro, volante do clube ingles Manchester United e capitao do Selecao Brasileira. Pentacampeao da Liga dos Campeoes da UEFA, campeao mundial e sul-americano pela selecao juvenil brasileira.

  18. Kylian Mbappe Lotten https://kylianmbappe.prostoprosport-br.com Futebolista frances, atacante do Paris Saint-Germain e capitao da selecao francesa equipe . Em 1? de julho de 2024, ele se tornara jogador do clube espanhol Real Madrid.

  19. Philippe Coutinho Correia https://philippecoutinho.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, midfielder of the English club Aston Villa, playing on loan for the Qatari club Al-Duhail. He is known for his vision, passing, dribbling and long-range ability.

  20. Mohamed Salah https://mohamedsalah.prostoprosport-br.com e um futebolista egipcio que joga como atacante do clube ingles Liverpool e do Selecao egipcia. Considerado um dos melhores jogadores de futebol do mundo. Tricampeao da Chuteira de Ouro da Premier League inglesa: em 2018 (sozinho), 2019 (junto com Sadio Mane e Pierre-Emerick Aubameyang) e 2022 (junto com Son Heung-min).

  21. Karim Mostafa Benzema https://karim-benzema.prostoprosport-br.com Futebolista frances, atacante do clube saudita Al-Ittihad . Jogou pela selecao francesa, pela qual disputou 97 partidas e marcou 37 gols.

  22. Harry Kane https://harry-kane.prostoprosport-br.com recebeu um convite para a selecao sub-alterna da Inglaterra pela primeira vez tempo 17 para o torneio juvenil em Portugal. Ao mesmo tempo, o atacante, devido a doenca grave, nao compareceu ao triunfante Campeonato Europeu Sub-17 masculino de 2010 pelos britanicos.

  23. Kaka https://kaka.prostoprosport-br.com Futebolista brasileiro, meio-campista. O apelido “Kaka” e um diminutivo de Ricardo. Formado em Sao Paulo. De 2002 a 2016, integrou a Selecao Brasileira, pela qual disputou 92 partidas e marcou 29 gols. Campeao mundial 2002.

  24. Luis Alberto Suarez Diaz https://luis-suarez.prostoprosport-br.com Uruguayan footballer, striker for Inter Miami and Uruguay national team. The best scorer in the history of the Uruguay national team. Considered one of the world’s top strikers of the 2010s

  25. Gareth Frank Bale https://garethbale.prostoprosport-br.com Jogador de futebol gales que atuou como ala. Ele jogou na selecao galesa. Ele se destacou pela alta velocidade e um golpe bem colocado. Artilheiro (41 gols) e recordista de partidas disputadas (111) na historia da selecao.

  26. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thhibaut-courtois.prostoprosport-fr.com Footballeur belge, gardien de but du club espagnol du Real Madrid . Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Triple vainqueur du Trophee Ricardo Zamora

  27. Jude Bellingham https://jude-bellingham.prostoprosport-br.com Futebolista ingles, meio-campista do clube espanhol Real Madrid e do Selecao da Inglaterra. Em abril de 2024, ele ganhou o premio Breakthrough of the Year do Laureus World Sports Awards. Ele se tornou o primeiro jogador de futebol a recebe-lo.

  28. Robert Lewandowski https://robert-lewandowski.prostoprosport-br.com e um futebolista polones, atacante do clube espanhol Barcelona e capitao da selecao polonesa. Considerado um dos melhores atacantes do mundo. Cavaleiro da Cruz do Comandante da Ordem do Renascimento da Polonia.

  29. Antoine Griezmann https://antoine-griezmann.prostoprosport-br.com Futebolista frances, atacante e meio-campista do Atletico de Madrid. Jogador e vice-capitao da selecao francesa, integrante da selecao – campea mundial 2018. Medalhista de prata no Europeu de 2016 e no Mundial de 2022.

  30. Ederson Santana de Moraes https://edersonmoraes.prostoprosport-br.com Futebolista brasileiro, goleiro do clube Manchester City e da Selecao Brasileira . Participante do Campeonato Mundial 2018. Bicampeao de Portugal pelo Benfica e pentacampeao de Inglaterra pelo Manchester City.

  31. Virgil van Dijk https://virgilvandijk.prostoprosport-br.com Futebolista holandes, zagueiro central, capitao do clube ingles Liverpool e capitao do a selecao holandesa.

  32. Victor James Osimhen https://victor-osimhen.prostoprosport-br.com e um futebolista nigeriano que atua como atacante. O clube italiano Napoli e a selecao nigeriana.

  33. Roberto Carlos da Silva Rocha https://roberto-carlos.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, left back. He was also capable of playing as both a central defender and a defensive midfielder. World champion 2002, silver medalist at the 1998 World Championships.

  34. Neymar da Silva Santos Junior https://neymar.prostoprosport-br.com e um futebolista brasileiro que atua como atacante, ponta e atacante. meio-campista do clube saudita Al-Hilal e da selecao brasileira. Considerado um dos melhores jogadores do mundo. O maior artilheiro da historia da Selecao Brasileira.

  35. Thomas Mueller https://thomasmueller.prostoprosport-br.com is a German football player who plays for the German Bayern Munich. Can play in different positions – striker, attacking midfielder. The most titled German footballer in history

  36. Kylian Mbappe Lotten https://kylian-mbappe.prostoprosport-cz.org Francouzsky fotbalista, utocnik Paris Saint-Germain a kapitan tymu francouzskeho tymu. 1. cervence 2024 se stane hracem spanelskeho klubu Real Madrid.

  37. Edson Arantes do Nascimento https://pele.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, forward (attacking midfielder. Played for Santos clubs) and New York Cosmos. Played 92 matches and scored 77 goals for the Brazilian national team.

  38. Mohamed Salah https://mohamed-salah.prostoprosport-cz.org je egyptsky fotbalista, ktery hraje jako utocnik za anglictinu. klub Liverpool a egyptsky narodni tym. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu na svete.

  39. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, zaloznik Manchesteru klub City” a belgicky narodni tym. Absolvent fotbalovych klubu „Ghent” a „Genk”. V roce 2008 zahajil svou karieru dospelych, debutoval v Genku.

  40. Lionel Messi https://lionel-messi.prostoprosport-cz.org je argentinsky fotbalista, utocnik a kapitan klubu MLS Inter Miami. , kapitan argentinske reprezentace. Mistr sveta, vitez Jizni Ameriky, vitez finale, olympijsky vitez. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu vsech dob.

  41. Bernardo Silva https://bernardo-silva.prostoprosport-cz.org Portugalsky fotbalista, zaloznik. Narozen 10. srpna 1994 v Lisabonu. Silva je povazovan za jednoho z nejlepsich utocnych zalozniku na svete. Fotbalista je povestny svou vytrvalosti a vykonem.

  42. Antoine Griezmann https://antoine-griezmann.prostoprosport-cz.org Francouzsky fotbalista, utocnik a zaloznik za Atletico de Madrid. Hrac a vicekapitan francouzskeho narodniho tymu, clen tymu – mistr sveta 2018 Stribrny medailista z mistrovstvi Evropy 2016 a mistrovstvi sveta 2022.

  43. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  44. Son Heung Min https://son-heung-min.prostoprosport-cz.org Jihokorejsky fotbalista, utocnik a kapitan anglickeho klubu Premier League Tottenham Hotspur a narodniho tymu Korejske republiky. V roce 2022 vyhral Zlatou kopacku Premier League.

  45. Luka Modric https://luka-modric.prostoprosport-cz.org je chorvatsky fotbalista, stredni zaloznik a kapitan spanelskeho tymu. klub Real Madrid, kapitan chorvatskeho narodniho tymu. Uznavan jako jeden z nejlepsich zalozniku nasi doby. Rytir Radu prince Branimira. Rekordman chorvatske reprezentace v poctu odehranych zapasu.

  46. Cristiano Ronaldo https://cristiano-ronaldo.prostoprosport-cz.org je portugalsky fotbalista, utocnik, kapitan Saudske Arabie klubu An-Nasr a portugalskeho narodniho tymu. Mistr Evropy. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu vsech dob. Nejlepsi strelec v historii fotbalu podle IFFIS a ctvrty podle RSSSF

  47. Alison Ramses Becker https://alisson-becker.prostoprosport-cz.org Brazilsky fotbalista nemeckeho puvodu, brankar klubu Liverpool a brazilsky narodni tym. Je povazovan za jednoho z nejlepsich brankaru sve generace a je znamy svymi vynikajicimi zakroky, presnosti prihravek a schopnosti jeden na jednoho.

  48. Rodrigo Silva de Goiz https://rodrygo.prostoprosport-cz.org Brazilsky fotbalista, utocnik Realu Madrid a brazilskeho narodniho tymu. V breznu 2017 byl Rodrigo povolan do narodniho tymu Brazilie U17 na zapasy Montague Tournament.

  49. Virgil van Dijk https://virgil-van-dijk.prostoprosport-cz.org Nizozemsky fotbalista, stredni obrance, kapitan anglickeho klubu Liverpool a kapitan nizozemskeho narodniho tymu.

  50. Romelu Menama Lukaku Bolingoli https://romelu-lukaku.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, utocnik anglickeho klubu Chelsea a Belgican vyber. Na hostovani hraje za italsky klub Roma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *