Maktaba ya Kila Siku: March 17, 2019

SERIKALI INAPENDA KUWAHAKIKISHIA KUWA CHANGAMOTO ZA WALEMAVU ZINAFANYIWA KAZI – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahimiza watu wenye ulemavu kutumia fursa zilizopo katika kujikwamua kiuchumi. Makamu wa Rais ameyasema hayo  kwenye hafla ya utoaji tuzo ya I CAN kwa watu wenye ulemavu iliyoandaliwa na Taasisi ya Dkt. Reginald Mengi Foundation, iliyofanyika leo …

Soma zaidi »

WAGONJWA WATANO WAPANDIKIZWA FIGO KATIKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Hospitali ya  Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza Figo jumla ya Wagonjwa saba tangu ilipoanza kufanya huduma hiyo kwa kushirikiana na Madaktari kutoka shirika la afya la Tokushukai lilopo nchi ya Japan. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto   wakati alipofanya ziara ya kukagua hali …

Soma zaidi »