Maktaba ya Kila Siku: March 20, 2019

VIJIJI 179 MKOANI IRINGA VIMEPANGWA KUPELEKEWA UMEME KWENYE MRADI WA REA III NA BACKBONE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya uenyekiti wa Mariamu Ditopile Mzuzuri,  imefanya ziara ya kikazi mkoani Iringa iliyokuwa na lengo na kukagua kazi ya utekelezaji wa mradi wa usambazaji umeme vijijini ili kijiridhisha endapo fedha zinazoidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinatumika …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WAAJIRI KUHAKIKISHA WAFANYAKAZI WAGENI WANARITHISHA UJUZI KWA WATANZANIA

    Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amewataka waajiri wote nchini wenye wafanyakazi wa kigeni kuhakikisha kwamba Wafanyakazi hao wanawarithisha ujuzi Watanzania kwa mujibu wa sheria inavyoelekeza ili kuwajengea uwezo Watanzania na baadaye kutoa nafasi kwa Watanzania kushika nafasi hizo. Mavunde ameyasema hayo …

Soma zaidi »

WAKAZI WA MAJOHE NA VITONGOJI VYAKE JIJINI DAR KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA

Wakazi zaidi ya 700,000 wa Majohe na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam wanatarajia kupatiwa majiSafi na Salama ifikapo mwishoni mwa mwezi Aprili 2019. Serikali kuwajengea Tanki la Maji lenye uwezo wa kuhifadhi Lita 150,000 kwa siku katika Mtaa wa Kichangani. Akiweka jiwe la Msingi kwa niaba ya Mkuu wa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KOROMIJE

Waizri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua mradi wa ujenzi na ukarabati mkubwa wa kituo cha afya cha kata ya Koromije wilayani Misungwi na amewahakikishia wananchi kuwa Serikali imejipanga vizuri kuboresha huduma za afya. Amesema uboreshaji huo unahusisha ujenzi wa chumba cha upasuaji, maabara, chumba cha kujifungulia, wodi ya mama na mtoto …

Soma zaidi »