Maktaba ya Kila Siku: March 12, 2019

WAZIRI BITEKO ATETA NA WENYE NIA YA KUWEKEZA NCHINI

Waziri wa Madini Doto Biteko amekutana na Rais wa Kampuni ya Amtec Resources Management Ltd ya nchini Uingereza, Dkt. Peter Gollmer ambaye amemweleza Waziri Biteko kuhusu ujio wa kampuni zipatazo 3 kutoka mataifa mbalimbali zenye nia ya kuwekeza katika sekta ya madini. Dkt. Gollmer amesema kampuni hizo zimeonesha nia ya …

Soma zaidi »

BALOZI MAHIGA AWASILI WIZARANI NA KUKABIDHIWA RASMI OFISI

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga amewasili makao makuu ya Wizara jijini Dodoma na kukabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi. Kitendo hicho kinafuatia kubadilishana wizara baina ya mawaziri hao kufuatia mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Mhe. …

Soma zaidi »

WAKULIMA 100 WAPATIWA HATI MILIKI ZA KIMILA KWA GHARAMA YA Tsh. 2,700

Katika Harakati Za Serikali Kumuinua Mkulima Nchini Na Kufanya Kilimo Kuwa Uti Wa Mgongo, Mpango Wa Kurasimisha Rasilimali Na Biashara Za Wanyonge Tanzania (Mkurabita) Umewajengea Uwezo Wananchi Wa Wilaya Ya Chamwino Jijini Dodoma Jinsi Ya Matumizi Bora Ya Ardhi Ili Kujikwamua Zaidi Kiuchumi. Ambapo wakulima 100 wa kijiji cha Mahama, …

Soma zaidi »