Maktaba ya Kila Siku: March 2, 2019

SERIKALI KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UZALISHAJI WA PAMBA MBEGU VIPARA -BASHUNGWA

Serikali imeeleza kuwa imejipanga kuimarisha zao la Pamba ili kuongeza uzalishaji nchini kwani kufanya hivyo wakulima watanufaika katika uzalishaji wenye tija na kuimarisha biashara. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Muhunze kilichopo katika Wilaya ya Kishapu wakati …

Soma zaidi »