Maktaba ya Kila Siku: March 8, 2019

RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame  tarehe 08 Machi, 2019 amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 2 hapa nchini Tanzania na kurejea nchini kwake, baada ya hapo jana kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Ikulu Jijini Dar es …

Soma zaidi »

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WARATIBU WA MIRADI YA ATOMIKI

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojiaa  Profesa Joyce Ndalichako  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa kimataifa wa waratibu wa kitaifa wa miradi inayotekelezwa na Shirika la nguvu za Atomiki duniani kwa nchi  46 kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 11 hadi 15 mezi Machi  jijini Arusha wenye lengo la kujadiliana …

Soma zaidi »