Maktaba ya Kila Siku: March 28, 2019

MAKAMU WA RAIS AZINDUA TABASAMU AKAUNTI MAALUM KWA AJILI YA WANAWAKE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Tano imefanya jitihada kubwa kuweka mazingira mazuri ya kisera na kimifumo ili kuchochea ukuaji wa sekta ya fedha hapa nchini. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Akaunti …

Soma zaidi »

WILAYA YA NKASI WAKAMILISHA MABORESHO YA VITUO VITATU VYA AFYA

Wakinamama wa Wilaya ya Nkasi, wamepongeza Serikali kwa kukamilisha maboresho ya vituo  vya afya  vya Wampembe, Kilando na Nkomolo na kuanza kutoa huduma kwa wananchi wa maeneo hayo. ”Hapa sasa hivi ni tofauti panahuduma nzuri Mungu ametuletea na vipimo yaani tunatibiwa bila kunyanyasika manesi wenyewe wanatupokea vizuri hata ukiwa mchafu …

Soma zaidi »

WAZIRI BITEKO AZINDUA BODI YA GST

Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), imetakiwa kuiwezesha taasisi hiyo kurahisisha maisha ya Wachimbaji Wadogo, wa Kati na Wakubwa kwa kuhakikisha wanapata taarifa za tafiti zinazofanywa na taasisi hiyo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini Doto Biteko wakati akizundua Bodi ya GST na kueleza kuwa, …

Soma zaidi »

LIVE: HAFLA YA UAPISHO WA BALOZI VALENTINO MLOWOLA NA KUPOKEA RIPOTI YA TAKUKURU

  Machi 28, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John pombe Magufuli amuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba Pia Rais Dkt. Magufuli anapokea Ripoti ya Utendaji kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Inayowasilishwa na Kamishna Mkuu wa Taasisi …

Soma zaidi »