Maktaba ya Kila Siku: March 11, 2019

MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI UGANDA TAYARI KWA KUSHIRIKI MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019

Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Uganda na kupokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Philemon Mateke pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt. Aziz P. Mlima katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebe. Makamu wa Rais pamoja na Naibu Waziri …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEIMARISHA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA MATUMIZI SALAMA YA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA NCHINI.

Serikali ya Tanzania kupitia Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imefanikiwa kuimarisha usimamizi na udhibiti wa matumizi ya  Teknolojia ya Nyuklia nchini.  Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Tekenolojia Mheshimiwa William Ole Nasha wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kimataifa wa waratibu wa miradi ya Sayansi  na …

Soma zaidi »

SIMIYU KUPATA CHUPA MILIONI TATU ZA VIUDUDU KWA ZAO LA PAMBA

Mkoa wa Simiyu utapokea chupa milioni tatu  za viuadudu katika msimu huu wa mwaka 2018/2019 lengo likiwa kukabiliana na changamoto ya wadudu  waharibifu wa zao la hilo. Mkurugenzi Bodi ya Pamba nchini, Bw. Marco Mtunga ameyasema hayo wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Omari Mgumba mkoani Simiyu …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS ANAONDOKA NCHINI LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA AFRICA NOW SUMMIT 2019 UTAKAOFANYIKA KAMPALA – UGANDA

Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Kampala, Uganda kushiriki kwenye Mkutano wa mwaka 2019 wa ‘Africa Now Summit’unaotarajiwa kufanyika tarehe12 na 13 Machi.Mhe. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Mkutano huo utafunguliwa na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambaye ndiye mwenyeji …

Soma zaidi »