Maktaba ya Kila Siku: March 22, 2019

UJENZI WA KITUO CHA AFYA BWISYA UKARA MKOANI MWANZA WAKAMILIKA

Majengo ya kituo cha afya cha Bwisya Ukara, Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza Kilichojengwa kwa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli yamewavutia na kuwafurahisha wananchi wa eneo hilo ambao walikuwa wakikabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma za matibabu. Kukosekana kwa …

Soma zaidi »

TANZANIA YAPATA HESHIMA KWENYE MKUTANO WA SOUTH – SOUTH COOPERATIONS, BUENOS AIRES, ARGENTINA.

Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC) , Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna ambavyo inapambana kulinda rasimali zake za asili na kudhibiti utoroshaji haramu wa fedha toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea. Akiwasilisha …

Soma zaidi »

DKT. MAHIGA AZINDUA KAMPENI YA USAJILI NA UTOAJI VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga amezindua kampeni ya usajili wa watoto chini ya miaka mitano na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa kwa mikoa ya Dodoma na Singida. Akizindua kampeni hiyo, Dkt. Mahiga ameitaka RITA kuhakikisha  inatunza taarifa za watoto wanazozichukua kupitia mtandao wa simu  na kuhakikisha  …

Soma zaidi »

WAFANYABIASHARA TANZANIA SASA WANAWEZA KUTAFUTA MASOKO NCHINI CHINA KUPTIA E-COMMERCE

Makampuni ya Tanzania yametafutiwa fursa ya kutafuta masoko ya bidhaa zake nchini China kwa njia ya mtandao, hayo yameelezwa  na Mwenyekiti wa Kampuni ya China-Africa E-Commerce ndugu Zhigang Hou alipokutana na Balozi wa Tanzania Nchini China Mbelwa Kairuki jijini Chengdu katika jimbo la Sichuan. Makampuni ya Tanzania yanayohitaji kuuza bidhaa …

Soma zaidi »