Maktaba ya Kila Siku: March 4, 2019

MAABARA ZA NYUKLIA KUWEZESHA TZ KUUZA BIDHAA NJE YA NCHI POPOTE DUNIANI

Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania kujenga Maabara katika Kanda. Maabara za Nyuklia  Mkombozi wa Mkulima, Mfugaji na Mvuvi Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia uwekezaji wa maabara za Nyuklia.   Ili Tanzania ifanikiwe kuwa na vigezo hitajika vya kuuza bidhaa zake nje ya nchi bila kuchagua baadhi ya masoko inatakiwa kuwa na …

Soma zaidi »

JESHI LA POLISI LIJITAFAKARI KWA BAADHI YA MATENDO YAKE – RAIS MAGUFULI

Rais  Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 04 Machi, 2019 amewaapisha Mawaziri 2, Balozi 1 na kushuhudia Naibu Makamishna wa Polisi 5 wakivishwa vyeo vipya vya Kamishna wa Polisi (CP) na kuapishwa kuongoza Kamisheni za Polisi. Mhe. Rais Magufuli amemuapisha Mhe. Balozi Dkt. Augustine Phillip Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na …

Soma zaidi »

MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI UTALETA FURSA NYINGI KWA WATANZANIA – WAZIRI MHAGAMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama  Machi 2, 2019 amefungua warsha ya mafunzo kuhusu Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda kuja Tanga, Tanzania. Warsha hiyo iliwakutanisha zaidi ya wadau …

Soma zaidi »