ZOEZI LA USAJILI LA VITAMBULISHO VYA TAIFA LASHIKA KASI

V1-01
Wananchi wa Jijini la Dar es Salaam, wakiwa wamepanga mstari katika Viwanja vya Mnazi Mmoja wakiendelea na zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.
V2 -01
Wananchi wakipata huduma ya Usajili wa kupata kitambulisho cha Taifa katika Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam zoezi ambalo linaendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.
V3-01
Baadhi Wafanyakazi kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa wakiwahudumia wananchi waliojitokeza eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.
V5 -01
Baadhi ya Vifaa kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotumika kuwahudumia wananchi waliojitokeza eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

MABORESHO YA MFUMO WA HAKI JINAI YAHAKIKISHE WANANCHI WANAPATA HAKI – LUGOLA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola amekitembelea  kikosi kazi kinachopitia mfumo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *