Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kidato cha pili kwa mwaka 2019. 1.Matokeo Kidato cha NNE: BOFYA HAPA au BOFYA HAPA 2.Matokeo Kidato cha PILI :BOFYA HAPA au BOFYA HAPA 3. Matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT): BOFYA HAPA
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: January 2020
RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI IKULU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ametunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka pamoja na Nishani ya Ushujaa kwa Viongozi, Watumishi wa Umma, Maafisa na Wapiganaji wa Idara Maalum za SMZ na wananchi mbali mbali wenye sifa maalum. Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA ARIDHISHWA NA HATUA ZA UJENZI WA JENGO LA NEC DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametembelea na kukagua hatua ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo eneo la Njedenwa Jijini Dodoma na kusema ameridhishwa na hatua …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 09 Januari, 2020 amewasili Jijini Dar es Salaam akitokea nyumbani kwake Chato, Mkoani Geita. Rais Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli kesho ataanza ziara ya kikazi Visiwani Zanzibar ambako ataweka jiwe la msingi la jengo la Idara ya Usalama wa Taifa Zanzibar. …
Soma zaidi »ZOEZI LA USAJILI LA VITAMBULISHO VYA TAIFA LASHIKA KASI
NAIBU WAZIRI WA AFYA AWATAKA WAZAZI KUONGEA NA WATOTO WAO
Mkoa wa Iringa kwa kipindi cha Januari mpaka Novemba 2019 umekuwa na matukio takribani 404 ya vitendo ya ukatili wa kingono kwa watoto ikiwa ni tatizo kubwa linalowakabili watoto katika malezi na makuzi yao nchini. Hayo yamebainika mkoani Iringa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, …
Soma zaidi »TUSIFANYE SIASA NA AFYA ZA WANANCHI – SERUKAMBA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba amesema suala la Afya za Watanzania sio suala la kufanyia siasa. Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni ya Uhamasishaji wa wananchi kujiunga na mpango wa vifurushi vipya vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI DKT. FAUSTINE NDUGULILE ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII RUNGEMBA IRINGA
DKT. NDUGULILE AWATAKA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA LISHE NCHINI
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, JInsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuweke mkazo kwa kutoa elimu ya lishe nchini hasa katika shule za misingi na Sekondari nchini ili kuondokana na tatizo la udumavu na utapiamlo Ameyasema hayo mkoani Iringa alipotembela Shule ya …
Soma zaidi »SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 8.7 KUTOKA KWA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA
Serikali imepokea gawio na michango ya Sh. bilioni 8.7 kutoka kwa baadhi ya Mashirika, Kampuni na Taasisi za Umma, ikiwa zimebaki siku 15 kati ya siku 60 zilizotolewa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, za kuzitaka Taasisi, Kampuni na Mashirika hayo kutoa gawio kwa Serikali. Gawio hilo limepokelewa na …
Soma zaidi »