NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII KANYASU AKERWA NA WAVAMIZI WA MAENEO YA HIFADHI


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu ameonesha kukerwa  na baadhi ya wananchi  wanaendelea kujenga nyumba na kuendesha shughuli za kilimo katika maeneo yenye  Wanyamapori hasa katika mapito ya Wanyamapori katika eneo la Kwakunchinja linalounganisha Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Hifadhi ya Manyara.

Amesema kutokana na tabia hiyo  Serikali haiwezi kumaliza kulipa vifuta jasho na vifuta machozi kwa wananchi wanaoshambuliwa na wanyamapori wakali na waharibifu

Ad
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya  HifAdhi ya Wanyamapori ya Burunge iliyopo katika wilaya ya Babati mkoani Manyara

Ameyasema hayo  wakati alipokuwa akizungumza na viongozi wa  Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Burunge (WMA)  iliyopo wilaya ya  Babati mkoani Manyara kuona namna ya kulinda ushoroba wa Kwakunchinja ambao ni umuhimu kwa  Wanyamapori wanaotoka Hifadhi ya Taifa ya Tarangire kuelekea Hifadhi ya Ziwa Manyara.

Amesema kwa mwaka huu pekee Serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni moja kulipa vifuta jasho na vifuta machozi huku kiasi cha shilingi Bilioni 2.3 ikiwa bado hakijalipwa kwa wananchi walioathiriwa na Wanyamapori wakali na Waharibifu


Amesema kila mahali wananchi wamekuwa wakilalamikA kuchelewa kulipwa vifuta jasho na vifuta machozi kutokana na madai hayo kuwa mengi hali inayopelekea Wizara kuwa na madai mengi yasiyolipika  kutoka kwa wananchi ambao baadhi wameyafuata makazi ya Wanyamapori

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akipewa  zawadi kabla ya kuagana na  Mkurugenzi wa  Chem chem, Nicolaus Negri wakati wa ziara yake ya kikazi aliyoifanya ya kutembelea Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Burunge iliyopo katika wilaya ya  Babati mkoani Manyara.

 Hata hivyo, Mhe.Kanyasu amesema Serikali inatafuta mbinu mbadala ya kupunguza migogoro baina ya binadamu na wanyamapori wakali na waharibifu baada ya kugundua kuwa fidia sio suluhisho kutokana na wimbi kubwa la wananchi kuendesha shughuli za kibinadamu katika shoroba za wanyamapori pamoja na maeneo ya mitawanyiko ya wanyamapori


Amesema kutokana na tabia  ya baadhi ya  wananchi kufanya makazi katika maeneo hayo, Wizara ya Maliasili na Utalii imegundua hata ikitenga bajeti nzima ya Wizara kwa ajili ya kulipa vifuta jasho na vifuta machozi haitaweza kumaliza tatizo hilo.


 Mhe.Kanyasu amesema binadamu wamekuwa wakiwafuata Wanyamapori hivyo suala la mazao ya kushambuliwa ni jambo lisiloepukika 

“Sehemu ya Mapori ya Akiba na Jumuiya ya Hifadhi za Wanyamapori ndimo Wananchi wameanzisha makazi hivi unategemea wanyamapori watulie tu ” alihoji Kanyasu.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akipewa  maelezo na  Mkurugenzi wa  Chem chem, Nicolaus Negri ambaye ni Mwekezaji katika Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Burunge ( WMA)  mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Chemchem iliyopo ndani ya Jumuiya hiyo ya Burunge  katika wilaya ya Babati mkoani Manyara

Amefafanua kuwa Wananchi waliojenga katika maeneo hayo wamekuwa wakitoa visingizio kuwa ardhi imepungua na hivyo kuwalazimu kuanzisha shughuli za binadamu katika maeneo ya wanyamapori suala ambalo ni umekuwa ni mzigo kwa Serikali ya kuanza kulipa fidia kila mwaka.


Amesisitiza kuwa shida sio ardhi bali wananchi wameshindwa kutumia ardhi waliyonayo kimipango hata hivyo Wananchi walio wengi wanataka kufuga mifugo kwa idadi kubwa na sio kwa ubora.


Pia, Akizungumzia Kilimo, Mhe.Kanyasu amesema Wakulima wamekuwa wakilima kizamani kwa kuamini kulima eneo kubwa ndio kupata mazao mengi jambo ambalo si kweli.


Amesema shida kubwa inayoikabili nchi kwa sasa ni ongezeko kubwa la binadamu na mifugo ilhali ardhi haiongezeki.

Amesema hali hivyo imechangia maeneo ya Hifadhi kuvamiwa kwa ajili ya kilimo na makazi kwa vile maeneo hayo yamehifadhiwa na hiyo haimaanishi kuwa hakuna vijiji vyenye maeneo kwa ajili ya makazi na malisho ya mifugo.


” Vijiji vyote vina mabonde, vijiji vyote vina maeneo ya malisho lakini yameharibiwa kutokana na idadi kubwa ya mifugo na mengine yameharibika kwa vile hayatunzwi” alisisitiza Kanyasu

Kufuatia hali hiyo, Mhe.Kanyasu amezitaka taasisi za Uhifadhi nchini kuendelea kutoa elimu kwa wananchi ili waweze  kutambua umuhimu wa maeneo yaliyohifadhiwa la sivyo migogoro kati ya binadamu na wanyamapori haitaisha.

Hata hivyo, Amewataka wananchi kubadili mfumo wa maisha kwa kuacha  kufuga kimazoea badala yake wafuge  kisasa na pia waachane na kilimo cha kuhama hama ambacho kutokana na ongezeko la idadi ya watu hakifai kwa sasa

Ad

Unaweza kuangalia pia

WATALII 450 KUTOKA ISRAEL WAKO NCHNI KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII

Watalii zaidi ya 450 kutoka Israel wamewasili nchini mwezi Desemba 2019 kwa ajili ya tembelea …

134 Maoni

  1. продвижение сайтов в сша европе http://www.prodvizhenie-sajtov15.ru/ .

  2. смотреть русское порно анал https://www.russkiy-anal-x.ru .

  3. купить диплом специалиста https://school5-priozersk.ru/ .

  4. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  5. Play PUBG Mobile https://pubg-mobile.com.az an exciting world of high-quality mobile battle royale. Unique maps, strategies and intense combat await you in this exciting mobile version of the popular game.

  6. Хотите сделать в квартире ремонт? Тогда советуем вам посетить сайт https://stroyka-gid.ru, где вы найдете всю необходимую информацию по строительству и ремонту.

  7. https://loveflover.ru — сайт посвященный комнатным растениям. Предлагает подробные статьи о выборе, выращивании и уходе за различными видами комнатных растений. Здесь можно найти полезные советы по созданию зелёного уголка в доме, руководства по декору и решению распространённых проблем, а также информацию о подходящих горшках и удобрениях. Платформа помогает создавать уютную атмосферу и гармонию в интерьере с помощью растений.

  8. Pin-up Casino https://pin-up.admsov.ru/ is an online casino licensed and regulated by the government of Curacao . Founded in 2016, it is home to some of the industry’s leading providers, including NetEnt, Microgaming, Play’n GO and others. This means that you will be spoiled for choice when it comes to choosing a game.

  9. Read the latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike.net.az, watch the most successful tournaments and become the best in the world of the game on the CS2 Azerbaijan website.

  10. Mohamed Salah Hamed Mehrez Ghali https://mohamed-salah.liverpool-fr.com Footballeur egyptien, attaquant du club anglais de Liverpool et l’equipe nationale egyptienne. Considere comme l’un des meilleurs joueurs du monde.

  11. Forward Rodrigo https://rodrygo.real-madrid-ar.com is now rightfully considered a rising star of Real Madrid. The talented Santos graduate is compared to Neymar and Cristiano Ronaldo, but the young talent does not consider himself a star.

  12. Видеопродакшн студия https://humanvideo.ru полного цикла. Современное оборудование продакшн-компании позволяет снимать видеоролики, фильмы и клипы высокого качества. Создание эффективных видеороликов для рекламы, мероприятий, видеоролики для бизнеса.

  13. Реальные анкеты https://prostitutki-vyzvat-moskva.ru Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  14. Lev Ivanovich Yashin https://lev-yashin.com.az Soviet football player, goalkeeper. Olympic champion in 1956 and European champion in 1960, five-time champion of the USSR, three-time winner of the USSR Cup.

  15. You have a source of the latest and most interesting sports news from Kazakhstan: “Kazakhstan sports news https://sports-kazahstan.kz: Games and records” ! Follow us to receive updates and interesting news every minute!

  16. Top sports news https://sport-kz-news.kz, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  17. Check out Minecraft kz https://minecraft-kz.kz for the latest news, guides, and in-depth reviews of the game options available. Find the latest information on Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  18. Spider-Man https://spiderman.kz the latest news, articles, reviews, dates, spoilers and other latest information. All materials on the topic “Spider-Man”

  19. French prodigy Kylian Mbappe https://realmadrid.kylian-mbappe-cz.com is taking football by storm, joining his main target, ” Real.” New titles and records are expected.

  20. Изготовим для Вас изделия из металла https://smith-moskva.blogspot.com, по вашим чертежам или по нашим эскизам.

  21. The fascinating story of the rise of Brazilian prodigy Vinicius Junior https://realmadrid.vinicius-junior-cz.com to the heights of glory as part of the legendary Madrid “Real”

  22. Mohamed Salah https://liverpool.mohamed-salah-cz.com, who grew up in a small town in Egypt, conquered Europe and became Liverpool star and one of the best players in the world.

  23. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  24. The impact of the arrival of Cristiano Ronaldo https://annasr.cristiano-ronaldo-cz.com at Al-Nasr. From sporting triumphs to cultural changes in Saudi football.

  25. We explore the path of Luka Modric https://realmadrid.luka-modric-cz.com to Real Madrid, from a difficult adaptation to legendary Champions League triumphs and personal awards.

  26. r7 casino официальный сайт вход https://mabiclub.ru

  27. Try to make a fascinating actor Johnny Depp https://secret-window.johnny-depp.cz, who will become the slave of his strong hero Moudriho Creeps in the thriller “Secret Window”.

  28. Jackie Chan https://peakhour.jackie-chan.cz from a poor boy from Hong Kong to a world famous Hollywood stuntman. The incredible success story of Jackie Chan.

  29. Carlos Vemola https://oktagon-mma.karlos-vemola.cz Czech professional mixed martial artist, former bodybuilder, wrestler and member Sokol.

  30. Latest news and analysis of the English Premier League https://epl-ar.com. Detailed descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events.

  31. Latest GTA game news https://gta-uzbek.com, tournaments, guides and strategies. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  32. Explore the extraordinary journey of Kylian Mbappe https://mbappe-real-madrid.com, from his humble beginnings to global stardom.

  33. Latest news about Pele https://mesut-ozil-uz.com, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  34. Serxio Ramos Garsiya https://serxio-ramos.com ispaniyalik futbolchi, himoyachi. Ispaniya terma jamoasining sobiq futbolchisi. 16 mavsum davomida u “Real Madrid”da markaziy himoyachi sifatida o’ynadi.

  35. Официальный сайт онлайн-казино Vavada https://vavada-kz-game.kz это новый адрес лучших слотов и джекпотов. Ознакомьтесь с бонусами и играйте на реальные деньги из Казахстана.

  36. Get to know the history, players and latest news of the Inter Miami football club https://inter-miami.uz. Join us to learn about the successes and great performances of America’s newest and most exciting soccer club.

  37. Site with the latest news, statistics, photos of Pele https://edson-arantes-do-nascimento.com and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  38. Gavi’s success story https://barcelona.gavi-fr.com at Barcelona: from his debut at 16 to a key role in club and national team of Spain, his talent inspires the world of football.

  39. Discover the journey of Charles Leclerc https://ferrari.charles-leclerc-fr.com, from young Monegasque driver to Ferrari Formula 1 leader, from his early years to his main achievements within the team.

  40. Discover Pierre Gasly’s https://alpine.pierre-gasly.com journey through the world of Formula 1, from his beginnings with Toro Rosso to his extraordinary achievements with Alpine.

  41. The story of the Moroccan footballer https://al-hilal.yassine-bounou.com, who became a star at Al-Hilal, traces his journey from the streets of Casablanca to international football stardom and his personal development.

  42. Del Mar Energy is an international industrial holding company engaged in the extraction of oil, gas, and coal

  43. Jannik Sinner https://tennis.jannik-sinner-fr.biz an Italian tennis player, went from starting his career to entering the top 10 of the ATP, demonstrating unique abilities and ambitions in world tennis.

  44. The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.

  45. The fascinating story of Alexander Zverev’s https://tennis.alexander-zverev-fr.biz rapid rise from a junior star to one of the leaders of modern tennis.

  46. Привет, друзья!
    Где приобрести диплом по необходимой специальности?
    Заказать диплом ВУЗа.
    http://7280.ru/raznoe/как-совершить-виртуальное-приключен.html
    Окажем помощь!

  47. Привет, друзья!
    Приобрести диплом ВУЗа.
    Наш сервис предлагает купить диплом в отличном качестве, неотличимый от оригинала без использования специального оборудования и квалифицированного специалиста.
    Где заказать диплом специалиста?
    http://ks4yumuo.listbb.ru/viewtopic.php?f=18&t=631
    Удачи!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *