Maktaba ya Kila Siku: June 19, 2020

WAZIRI WA AFYA AZINDUA TIBA MTANDAO MOI, ATAKA IUNGANISHWE BURUNDI, RWANDA, COMORO

WAMJW-Dar es Salaam Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezindua kituo cha Tiba Mtandao cha Taifa kilichopo Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) ambacho kitawahudumia wagonjwa wa hospitali za halmashauri, wilaya, rufaa na hospitali nyingine nchini.Kabla ya kuzindua kituo hicho, Waziri wa Afya, Ummy …

Soma zaidi »

SERIKALI KUONGEZA IDADI YA NDEGE KUBEBA MINOFU YA SAMAKI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba, wakati wa mkutano wa pili wa kujadili namna ya kurahisisha usafirishaji wa minofu ya samaki kutokea Kiwanja cha Ndege cha Mwanza uliofanyika jijini Dodoma. Serikali imewaahidi wafanyabiashara wa minofu ya samaki kuongeza idadi …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA AZITAKA OFISI ZA HALMASHAURI NA WILAYA NCHINI KUZITUMIA OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA

Na Munir Shemweta, WANMM KILIMANJARO Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kuweza kukamilisha ujenzi wa miradi ya jengo la ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Hai lililopo Bomang’ombe na ofisi pamoja na nyumba za Watumishi wa …

Soma zaidi »