Maktaba ya Kila Siku: June 30, 2020

WAZIRI KIGWANGALLA AZUNGUMZA NA BALOZI WA CHINA, INDIA NA UMOJA WA ULAYA KUELEZEA UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA WATALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Ms.Wng Ke, kuelezea utayari wa Tanzania kupokea Watalii kutoka nchini china wakati huu wa janga la Corona. Dkt. Kigwangalla amekua akifanya mikutano na mabalozi wa nchi mbalimbali ambazo ni masoko makuu ya utalii nchini Tanzania. Waziri …

Soma zaidi »

TANZANIA NA UFARANSA ZASAINI MKATABA WENYE THAMNANI YA TSH BILIONI 592

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier wakisaini moja ya Mikataba ya Mkopo nafuu wa shilingi bilioni 592.57 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Nishati ya Umeme unaounganisha Tanzania na Zambia, Mradi wa UmemeVijijini (REA) katika mikoa …

Soma zaidi »

UWEKEZAJI TUNAOUTAKA NI ULE WA KUWAJIBIKA KATIKA JAMII – WAZIRI KAIRUKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipokea maelezo kuhusu ufugaji wa ngamia katika shamba la Highland Estate kutoka kwa Mkurugenzi wa shamba hilo Bw. Pirmohamed Mulla alipotembelea moja ya uwekezaji wa kampuni hiyo ya ufugaji wa ng’ombe na ngamaia katika shamba hilo lililopo Kata ya …

Soma zaidi »