Maktaba ya Kila Siku: June 18, 2020

HUDUMA YA KUVUNJA MAWE KWENYE FIGO KWA TEKNOLOJIA YA KISASA YAANZA MLOGANZILA

Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila imeanza rasmi huduma ya kuvunja mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa kutumia njia ya mawimbi mshituko kwa kitaalamu extracorporeal shock wave lithotripsy (ESWL) . Kuanzishwa kwa matibabu haya ni mwendelezo wa kutekeleza juhudi za Serikali kuboresha huduma bobezi za kibingwa nchini ili kuongeza …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NYONGO: MIGOGORO YA WACHIMBAJI KUTATULIWA KISHERIA

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo mwenye Koti akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vikundi 14 Kwahemu Daudi Elia akitoa maelezo ya uchimbaji kwenye eneo la machimbo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Imeelezwa kuwa, utatuzi wa migogoro ya wachimbaji wadogo wa madini hutatuliwa kwa kufuata Sheria na taratibu zinazosimamia sekta ya …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU NZUNDA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) JIJINI DODOMA.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda pamoja na timu aliyoongozana nayo wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) lililopo eneo la Njedengwa Jijini Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na …

Soma zaidi »

BASHUNGWA AMEWAHAKIKISHIA WATANZANIA KUWA “SERIKALI ITAHAKIKISHA WANANCHI WANANUFAIKA KWA KUSHUKA BEI YA MAFUTA”

Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara. Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amezielekeza FCC, EWURA, WMA kufanya ukaguzi na kuwachukulia hatua wafanyabiashara na waagizaji wa mafuta wanaoficha bidhaa hiyo kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu yatakapoadimika au kupanda bei. Waziri Bashungwa aliyasema Juni …

Soma zaidi »

NGOs WEKENI WAZI MATUMIZI YA FEDHA ZA WAFADHILI – WAZIRI UMMY

Na Mwandishi Wetu Dodoma Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kuzingatia Uwazi katika matumizi ya fedha za wafadhili ili kufanikisha malengo ya fedha hizo ambayo ni kuleta maendeleo kwa Wananchi. Waziri Ummy ameyasema hayo leo (17/06/2020) jijini Doddoma …

Soma zaidi »