Maktaba ya Kila Siku: June 7, 2020

RAIS MAGUFULI AWASHUKURU VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KWA MAOMBI DHIDI YA CORONA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuitikia wito wa kumuomba Mwenyezi Mungu aepushe janga la ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati alipokuwa akiendesha Harambee …

Soma zaidi »