Maktaba ya Kila Siku: June 4, 2020

DC. KYOBYA AAGIZA MRADI WA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE MTWARA KUKAMILIKA KWA WAKATI

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Dunstan Kyobya  amefanya ziara June 3 akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Hamza Johari na kuisisitiza mradi huo kufanya kazi usiku na mchana ili uweze kukabidhiwa ifikapo Septemba 26 mwaka huu. Aidha, amewataka wasimamizi wa mradi huo ambao ni Tanroads kusimamia …

Soma zaidi »

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YAWATAKA WAAJIRIWA WAPYA KUWAJIBIKA, KUCHAPA KAZI

Waajiriwa wapya katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), wametakiwa kuwajibika na kuchapa kazi kwa bidii ili kuendeleza juhudi za kuokoa maisha ya watu wanaokabiliwa na magonjwa ya moyo wanaofika kupata matibabu katika taasisi hiyo.Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa Mohamed Janabi alipokuwa akizungumza na waajiriwa wapya …

Soma zaidi »

MIRADI YA ULGSP YAWA KIVUTIO KWA WAGENI KATIKA MJI WA SUMBWANGA

Katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yanamgusa kila mwananchi katika mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini, Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imepewa dhamana ya kusimamia programu ya uimarishaji miji (Urban Local Government Support Program – ULGSP) kwaajili ya kuimarisha halmashauri 18 za miji …

Soma zaidi »