Maktaba ya Kila Siku: June 11, 2020

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 KATIKA MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano …

Soma zaidi »

TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21 WAWASILISHWA BUNGENI

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kulia), akifurahia jambo wakati Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma, kushoto ni Naibu …

Soma zaidi »

BODI YA WAKURUGENZI YA IMF IMEIDHINISHA LEO DOLA ZA MAREKANI MILIONI 14.3 ZA MSAMAHA WA KODI WA MADENI TULIYOKUWA NAYO – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha dola za marekani milioni 14.3 za msamahaa wa kodi za madeni. Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza katika uzinduzi wa Jengo la Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) mjini Dodoma. “Leo ninapozungumza tumepata …

Soma zaidi »