Maktaba ya Kila Siku: June 3, 2020

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA RAIS SHEIN, MZEE MANGULA NA DKT. BASHIRU, IKULU CHAMWINO

Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Juni, 2020 amekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika kikao cha ndani kilichofanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma. Rais …

Soma zaidi »

UCHIMBAJI KINA CHA LANGO LA KUINGILIA MAJI KWENYE MITAMBO JNHPP WAKAMILIKA

Mhandisi Dismas Mbote Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022. Mhandisi Dismas Mbote, msimamizi wa ujenzi wa njia za maji pamoja na Bwawa kwenye Mradi wa Julius Nyerere amesema utekelezaji …

Soma zaidi »

RC MALIMA ATAKA WAKULIMA WAUZE KAHAWA YAO KWA BEI NZURI AUNGA MKONO WANUNUZI BINAFSI

Uongozi wa Mkoa wa Mara umesisitiza kuendelea kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Rais Dkt John Magufuli kuhusu wanunuzi binafsi wakati akizungumza na wananchi wa Kyaka, Rwamisheye, Kemondo Muleba, Nyakabango na Kyamyorwa mkoani Kagera tarehe 11 Julai 2019. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Adam Malima leo tarehe …

Soma zaidi »