Maktaba ya Kila Siku: June 8, 2020

KIWANDA CHA KUCHENJUA NA KUTAKASA MADINI CHAANZA KAZI RASMI JIJINI DODOMA

Godwin Myovela na Dotto Mwaibale, DodomaHatimaye Kiwanda cha kwanza kikubwa chenye uwezo wa kutakasa dhahabu na madini mengine kwa ubora wa mahitaji ya soko la kimataifa sasa kimeanza rasmi uzalishaji nchini. Kiwanda hicho kinachojulikana kama Eyes of Africa Ltd ( EOA) kimeanza uzalishaji wake kwa uwezo wa kutakasa dhahabu na …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA APONGEZA MAFANIKIO YALIYOFIKIWA KATIKA UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametoa pongenzi kwa Jeshi la Magereza na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa hatua waliyofika katika ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga. Akizungumza …

Soma zaidi »

NCHI ZA NORDIC ZAAHIDI KUENDELEZA, KUIMARISHA UHUSIANO WAKE NA TANZANIA

Nchi za NORDIC ambazo ni Norway, Sweden, Finland na Dernmark zimeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania na kuhakikisha kuwa Tanzania inasonga mbele katika maendeleo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi. Akiongea wakati wa maadhimisho ya wiki ya Nordic jijini Dar es Salaam, Balozi wa Norway nchini, Elisabeth Jacobsen amesema kuwa nchi za …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS ATAKA KUFANYIKA TATHMINI KATIKA MAENEO YOTE YA MIGODI NA WACHIMBAJI WADOGO ILI KUBAINI KIWANGO CHA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, tarehe 6 Juni, 2020 amekutana na Viongozi na Watumishi Waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika Kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kambarage uliopo katika Jengo la …

Soma zaidi »

SOKO LA DHAHABU MKOANI GEITA LACHANGIA MAPATO YA SERIKALI KUPITIA MRABAHA NA ADA YA UKAGUZI KWA JUMLA YA BILIONI 36.57

Na Nuru Mwasampeta, WM WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amewataka Watanzania kuutazama mchango wa sekta ya madini kwa namna unavyosaidia kuinua sekta nyingine za uchumi, kwani tayari kwa upande wa kuongezeka kwa ukusanyaji wa maduhuli sekta hiyo imeonesha mafanikio makubwa. “Niliwaambia wenzangu wizarani, lazima tuhame sasa kwenye mfumo wa kufurahia …

Soma zaidi »