Maktaba ya Kila Siku: August 13, 2020

WAZIRI ZUNGU ATAKA KUSIMAMIWA VIZURI KWA TAFITI ZINAZOFANYIKA KUHUSU BIOTEKNOLOJIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mussa Azzan Zungu ameelekeza kusimamiwa vizuri kwa tafiti zinazofanyika kuhusu bioteknolojia na kuishauri Serikali kuhusu matumizi yake salama. Zungu ametoa maelekezo hayo hilo leo Agosti 12, 2020 wakati akizindua Kamati ya Kitaifa ya Usimamizi wa Matumizi Salama ya …

Soma zaidi »

MAENEO YANAYOTENGWA KWA UWEKEZAJI YAPIMWE -NAIBU WAZIRI MABULA

Na Munir Shemweta, WANMM BUKOMBE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameziagiza idara za ardhi kwenye halmashauri kuhakikisha maeneo yanayotengwa kwa ajili ya shughuli za uwekezaji yanapimwa  sambamba na kuwa na mpango wa matumizi bora ardhi katika vijiji. Dkt Mabula alisema hayo jana wilayani …

Soma zaidi »

KAMPUNI YA GGML NA HALMASHAURI YA MJI WA GEITA WAMESAINI MAKUBALIANO YA MPANGO WA KUSAIDIA JAMII WENYE THAMANI YA SH BIL 9.2

Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Richard Jordinson (kulia) akikabidhi mkataba wa makubaliano Mpango wa uwajibika kwa jamii mwaka huu (CSR) kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (kushoto) Mkuu wa Sheria kutoka Kampuni ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML), David Nzaligo na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: TAKUKURU HAKIKISHENI WATANZANIA HAWARUBUNIWI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ihakikishe Watanzania hawarubuniwi ili watumie vizuri utashi wao wa kisiasa kuchagua viongozi bora. “Sote tunatambua kuwa Oktoba, mwaka huu Taifa letu litaendesha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani… mna jukumu zito la kuhakikisha Watanzania hawarubuniwi na …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEENDELEA KUWEKA MIKAKATI ENDELEVU YA KUWAWEZESHA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA UCHUMI WA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAVUNDE

Serikali imeendelea kuweka mikakati endelevu ya kuwawezesha vijana nchini kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali ili kuendelea uchumi wa Taifa. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Vijana …

Soma zaidi »