Maktaba ya Kila Siku: August 5, 2020

MAHAKAMA KONDOA YAMALIZA MASHAURI 184 KATI YA JANUARI NA JULAI

Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Kondoa akitoa ufafanuzi juu ya maboresho ya miundombinu ya Mahakama yalivyorahisisha utoaji haki kwa wakati. Mahakama ya wilaya ya Kondoa imesikiliza na kumaliza mashauri ya jinai na madai 184 kati ya mashauri 262 yaliyokuwepo katika Mahakama za wilaya za Kondoa na Chemba. …

Soma zaidi »